Tetesi: MSAAADA KISHERIA HII IMEKAAJE

james marco

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
208
167
habarini wana janvi! Mimi ni mhitimu katika shule frani hivi mwaka ulio pita sasa pale shuleni second master alikua na mambk ya ajabu sana kama vile kutengeneza uadui na wanafunzi kutunyang'anya magodoro,kutengeneza kesi,ukidakwa na simu unapigwa fine ya kuja na UNITS mia mbili za umeme tulivumilia tuka toboa
Sasa basi baada ya kuhitim wale wanafunzi watukutu walitengeneza whatsapp group ambamo jamaa wali mu add huyo second master asee na wengine tukawa tume be added sasa basi wale jamaa walio zingua necta walianza kumtolea shit sana yule mwalimu kwa kua wengine tulijua tutarudi ili bidi tukaushe tusije zua mengine
Ila imefikia mwaka huu jamaa wakiwa wanafuata vyeti kwa wale ambao mwaka wa pili lazima uwe na cheti jamaa amekua akizingua katakata kutoa hvyo vyeti kibaya zaid kachukua no zote zilizokua kwenye hilo group na kuziweka kwenye hiyo kesi sasa jamank sheria inasemaje hapo je akikatalia cheti naweza kupataje msaada kisheria? Ahsanten
 
Kwanza kabisa inabidi aende mahakamani akafungue jalada kama mlimtusi humo kwenye hicho kikundi. Polisi watafanya upelelezi kwa kukusanya ushahidi na kukamata wahusika (suspects).

Taratibu za kimahakama zitafuata na kila mtu atahukumiwa kulingana na sheria za mitandao n.k.

Kuhusu cheti huyo mwalimu hana mamlaka ya kukikatalia kama ada na michango yote ya shule ulishamaliza. Akupeni vyeti vyenu tu.

Kama ni suala la kudhalilishwa au kutukanwa hiyo ni kesi nyingine kama anataka aipeleke ngazi zinazofuata.

Nikushauri tu dogo nenda na mzazi wako hapo kachukue cheti. Kama unaona jau njoo PM twende nikusindikize tukifika tu haitachukua dakika 10 tutaondoka na cheti.
 
Ahsante mkuu
 
Kuna kitu sijaelewa, kipindi cha nyuma kulikuwa na sheria takribani zote mtandaoni,
By simple searching in search engines
Kwa sasa napata tabu sana kuzipata sheria hizo directly kwenye "search engines"
Ni kwamba zimehamishwa au zimeondolewa, na ni kwanini?
Natafuta pia sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii siipati. Naomba mwenye link au sheria hiyo atusaidia kwa "Uploading it or its Link"
 
habarini wana janvi! Mimi ni mhitimu katika shule frani hivi mwaka ulio pita sasa pale shuleni second master alikua na mambk ya ajabu sana kama vile kutengeneza uadui na wanafunzi kutunyang'anya magodoro,kutengeneza kesi,ukidakwa na simu unapigwa fine ya kuja na UNITS mia mbili za umeme tulivumilia tuka toboa
Sasa basi baada ya kuhitim wale wanafunzi watukutu walitengeneza whatsapp group ambamo jamaa wali mu add huyo second master asee na wengine tukawa tume be added sasa basi wale jamaa walio zingua necta walianza kumtolea shit sana yule mwalimu kwa kua wengine tulijua tutarudi ili bidi tukaushe tusije zua mengine
Ila imefikia mwaka huu jamaa wakiwa wanafuata vyeti kwa wale ambao mwaka wa pili lazima uwe na cheti jamaa amekua akizingua katakata kutoa hvyo vyeti kibaya zaid kachukua no zote zilizokua kwenye hilo group na kuziweka kwenye hiyo kesi sasa jamank sheria inasemaje hapo je akikatalia cheti naweza kupataje msaada kisheria? Ahsanten
m nlikutana situation kama yako ...nlirudi kuchukua cheti changu mwalimu mmoja akakataa kusain clearance.......m nikaandika barua wizarani nikilalamika nikawaeleza napata wasiwasi cheti changu kimeuzwa kwa hiyo walimu including headmaster siwaelewi...kilichofuata headmaster (sijui wizarani walimwambia nini)...alinipigia simu friendly nikaenda kuchukua cheti changu
 
Hiyi

Hiyo hekima ulitumia, safi Sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom