Morogoro: Afungwa miaka 30 kwa kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia, bado anakabiliwa na kesi ya kumuua mama yao(mkewe)

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,504
8,071
Mkazi wa wilaya ya Kilosa, Mohammed Salange amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada kukutwa na hatia ya kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia wa kiume mwenye umri wa miaka 9. Makosa hayo sita yanajumuisha kumng'oa jino La mbele, kumdhuru sehemu mbalimbali za siri, kumwagia maji ya moto na kumpiga mkono hadi kuvunjika.

Bado Salange ana kesi ya kuwakatili watoto wake wengine wawili wa kufikia pamoja na kumuua mama yao ambae alikuwa ni mkewe.
 
Hata shetani aliko atakuwa anapigwa butwaa. Tumekuwa wa hovyo kuliko hata yeye?!
 
Hv sasa ni saa 1:47 pm umeme rais samia kakata tangu saa 12 jioni mpk sasa katulaza giza napenda kumpongeza.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Dah yule jamaa dizaini hayupo sawa nimemcheki katika taarifa ya habari eti anakaza, anatembea kibabe mambo mengine aisee.
Ni muhimu watu kabla ya kuingia kwenye mahusiano/ndoa kujaribu kutafiti utimamu wa akili ya mtu...
 
Damage aliyomuachia huyo mtoto ni kubwa sana, watu wa afya ya akili wanapaswa kua nae kwa ajili ya therapy na huyo baradhuli walichome sindano ya sumu life taratibu kwa maumivu makali sana.
 
Mkazi wa wilaya ya Kilosa, Mohammed Salange amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada kukutwa na hatia ya kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia wa kiume mwenye umri wa miaka 9. Makosa hayo sita yanajumuisha kumng'oa jino La mbele, kumdhuru sehemu mbalimbali za siri, kumwagia maji ya moto na kumpiga mkono hadi kuvunjika.

Bado Salange ana kesi ya kuwakatili watoto wake wengine wawili wa kufikia pamoja na kumuua mama yao ambae alikuwa ni mkewe.
Huyo akakae hukohuko milele hafai kuwepo hapa duniani
 
Back
Top Bottom