Mnao taka ushindi wa goli 5 mnadhani NBC ni ndondo cup? mnyonge mnyongeni ligi inakua tena kwa kasi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,748
9,493
Ukiangalia mwanzoni mwa msimu na sasa utaona jinsi gani timu ndogo ndogo zimeachana na mpira wa kinyonge yaani sasa hivi ukizubaa unaangusha point na kila mechi ni kama vile fainali.

Mnaotaka mshinde goli nyingi nyingi hasa hasa simba muwe na adabu sasa hivi ni piga nikupige ukizubaa unakaa chini na hizo timu ndogo ndogo zinapambana zishuke daraja
 
Ili upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.

Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.

Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.
 
Mchambuzi wa mpira wa majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.

Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.

Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.
12 kms ligi ya bongo?
 
Hapo hujaongeza na maufundi ya Majini.
 
Ukiangalia mwanzoni mwa msimu na sasa utaona jinsi gani timu ndogo ndogo zimeachana na mpira wa kinyonge yaani sasa hivi ukizubaa unaangusha point na kila mechi ni kama vile fainali.

Mnaotaka mshinde goli nyingi nyingi hasa hasa simba muwe na adabu sasa hivi ni piga nikupige ukizubaa unakaa chini na hizo timu ndogo ndogo zinapambana zishuke daraja
Kama ndo ivo mbona yanga wanajigia tu hamsa kwa mnyama?
 
Ili upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.

Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.

Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.
jini Maimuna ...
 
Haya sasa mtaanza kunielewa, simba sio mbovu bali NBC PL sio ndondo cup
 
Back
Top Bottom