adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 11,051
- 23,455
Habari za muda huu wana JF,
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa pilipili tokea udogoni mpaka sasa mpaka kuna kipindi nikawa ninajiuliza hivi wapi kuna mashindano ya ulaji wa pilipili na mimi nikawakilishe vizuri taifa langu?
Na kwangu chakula chochote bila pilipili kwangu naona hakina maana na mzuka hauji kabisa.
Na napenda pilipili ikolee sawasawa hapo nikila stimu zipanda kichwani ubongo unachangamka mpaka nahisi pilipili inasaidia kuongeza akili maana najihusi mwepesi sana na uchangamfu wa hali ya juu wakati ninatumia.
Kiuhalisia mimi kifua changu kipo very sensitive vumbi au moshi wa sigara kidogo basi huwa nakohoa vibaya mno mpaka mwili inakoza nguvu sasa nikifululuza matumizi ya pilipili sitoboi siku tatu lazima homa ya kikohozi inapanda na madawa ya kifua mpaka nimeyazoea na hata nikiwa natumia dozi ya kikohozi bado ulaji unaendelea,kuna kipindi nilidhamiria niacha kabisa ila nilifanikiwa kujizuia kwa mwezi mmoja pekee na nimeshauriwa na wataalamu na watu wengine niache au kupunguza lakini nimeshindwa.
Kwa ambao wamefanikiwa naomba mbinu mliweza vipi kuachana na ulaji pilipili maana nataka niache kabisa kutumia.
#UziTayari