Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

Utajua wewe

JF-Expert Member
Feb 20, 2024
296
627
Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.

Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni.

Usipende kuongea chooni/bafuni.

Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni.

Usichezee nyeti zako chooni/bafuni.

Ni heri kufuata lililo kupeleka bafuni/chooni kisha ukatoka.

Ina madhara mengi na imearibia watu wengi maisha yao sio kinyota bali hata kiafya.

Madhara yake nikama...

-maneno yako hayatasikilizwa na yeyote yule hata awe mtu wa karibu nawe utashangaa kukuepuka.

-hutokuwa na uwezo wa kumshawishi mtu yeyote yule kwa jambo lolote.

-kinywa chako kitakuwa kama choo kila usemalo litakuwa chafu na la kuchukiza kwa waja.

-hutezwa sikilizwa haja zako wala kupata usaidizi.


Chooni kuna viumbe wabaya walio fanya chooni/ bafuni kama makaazi yao na ndiyo maana kuna adabu za kuingiliwa chooni.

Kwaiyo ni vizuri kuto tema tema mate, kutoongea ovyo ovyo. Na kuchezea nyeti zako chooni/ bafuni unatamanisha majini kama vile jini mahaba, na wengi walio na jini hili eidha ni kutupiwa ama kusababishwa na kuchezea nyeti ovyo ovyo chooni/ bafuni.

Jiulize kwa nini wagonjwa wengi wa kupooza wengi wao wanaanguka chooni?

Pamoja nakuwa kuna mambo ya kichawi ila asilimia kubwa ya wanao anguka chooni na kupooza ama wengine kufikia chanzo cha kifo chao ni sababu ya majini wabaya chooni/ bafuni.

Kaa ukijua bafuni sio sehemu ya kuchezea haswa kama umzazi mchunge sana mtoto wako kwenda chooni pekee maana hujui ni majini gani yanayo mgonjea humo.

Usiteme mate hovyo !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom