Mmmh embu nione sample kwanza kabla sijakubali/kataa.
Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele. Founders, 2011: Lizzy & The Finest (Promotion & Revision,2012: kongosho)
Hiki ni kiwango cha chini kabisa cha kukosa hoja. Mtu hata kufika hatua ya kukutishia yeye ni nani basi elewa kuwa kama ana pesa basi ni mwizi au muuza unga, kama ni mwanasiasa basi ni mchakachuaji, kama ni afisa basi kabebwa au "kabeba" hadi kufikia hapo alipo, kama ni "msomi" basi kamaliza mabanda bila ya kupata elimu.
Hili jamvi mmmmmmmh . . . . . . kama la Uswahilini
Hamna cha kupotezea wala nini, akileta pumba unamuongezea mashudu asiondoke bila kitu.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
. . . . . .
Kauli za watu ambao wamekosa hoja hapa jamvini.
1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
10. Anakutisha na "do you know who I am?".
11. Anakwambia yeye ana pesa/amesoma sana.
. . . . . .
Hiyo namba saba, wewe wakati mwingine ndite unayeongoza kwa kuharibu hoja za watu, mfano yule dada alibandika thread yake kuhusu avatar yake kua ni picha yake ya kweli wewe ukaja ukaanza kumharibia na watu wengine walikushambulia, na hii umeshawahi kunifanyia hata mimi kwenye baadhi ya ID zangu hapo kipindi cha nyuma, hujioni?
anyway asante kwa mchango wako na wewe umeji include kama mmojawapo wa wenye hizo tabia!
Hahahaha. . .watu bana. Yani kutisha watu na "do you know who I am" aache kufanya huko mtaani wanakojali au hata kumtegemea aje kutisha hapa JF sehemu ambayo kila mtu kajileta mwenyewe?
Orait Lizzy, I know, I know.
I could tell something just wasn't right.
When you turned your back to me and you covered your head,
Then you didn't even say goodnight.
Now if you tired, 'n' you don't wan' be bothered baby,
Just say the word and I'll leave you 'lone.
Instead of layin' out cryin' yo' eyes out, baby,
Let's straighten it out then. Please?
Hahahaha thanks for the jam EMT. . . .
You made my night.
Tuma salam. . .
Ntakwambia hiyo hoja ya msingi ni nini.