Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana

Kitana

Member
Jun 11, 2016
16
49
Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo vya habari sana toka Magufuli aliopoingia madarakani. Nilifanikiwa kufahamiana naye mwaka 2017 alipoanza uhusiano wa kimapenzi na Rais Magufuli. Walikutana Magufuli aliposafiri kwenda Zanzibar tarehe 12 Oktoba 2017. Alikuwa na tamaa sana ya kupata uteuzi serikalini. Magufuli akaanza kumtumia kuwaumiza wapinzani kwa makumbaliano kuwa angempa nafasi endapo angefanikiwa kumlisha sumu Seif Hamad Sharrif. Alipomaliza kazi hiyo (ikumbukwe kuwa Maalim Seif alisafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa baada ya mkasa huo). Magufuli alimpatia fedha kidogo lakini hakumpatia cheo. Baada ya kifo cha Magufuli alipeleka simu zake zote CCM na kuonesha taarifa za matukio ya kuumiza watu Zanzibar aliyofanya kwa maelekezo ya Magufuli. Kupelekwa kwa Balozi Pereira Comoro kulimfanya akae kimya kwa muda.
Swali ni kwamba, ni kwanini anatoa tuhuma nzito kama siku siku chache kabla mme wake hajamaliza muda wake wa kutumikia kama balozi Comoro?
 
Huyo mwanamke kuna kitu anafanya na akiendelea kusikilizwa atatuvuruga. Hapo nyuma mumewe alilipa milioni 69 kwa ajili ya kumaliza kesi fulani alipomsingizia jamaa mmoja kuhhsu kuwa na mahusiano na huyo mwanamke. Kamalaya flani hivi kasiko na haya.
 
nimepita youtube ukiena kwenye comment section bila shaka utaokota jambo japo wazanzibari wana andika vibaya sana
 
Nimesoma sijaelewa
Elimu Zanzibar iboreshwe zaidi wazanzibar hawajui kabisa kujenga hoja ikaeleweka
 
Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo vya habari sana toka Magufuli aliopoingia madarakani. Nilifanikiwa kufahamiana naye mwaka 2017 alipoanza uhusiano wa kimapenzi na Rais Magufuli. Walikutana Magufuli aliposafiri kwenda Zanzibar tarehe 12 Oktoba 2017. Alikuwa na tamaa sana ya kupata uteuzi serikalini. Magufuli akaanza kumtumia kuwaumiza wapinzani kwa makumbaliano kuwa angempa nafasi endapo angefanikiwa kumlisha sumu Seif Hamad Sharrif. Alipomaliza kazi hiyo (ikumbukwe kuwa Maalim Seif alisafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa baada ya mkasa huo). Magufuli alimpatia fedha kidogo lakini hakumpatia cheo. Baada ya kifo cha Magufuli alipeleka simu zake zote CCM na kuonesha taarifa za matukio ya kuumiza watu Zanzibar aliyofanya kwa maelekezo ya Magufuli. Kupelekwa kwa Balozi Pereira Comoro kulimfanya akae kimya kwa muda.
Swali ni kwamba, ni kwanini anatoa tuhuma nzito kama siku siku chache kabla mme wake hajamaliza muda wake wa kutumikia kama balozi Comoro?
Duh,kumbe Maalim Seif aliuliwa na JPM? Hatari sana hii.
 
Back
Top Bottom