Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,213
- 4,158
Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na wanaitaka Serikali kusitisha.
Jioneeni Comment hizo na mnaweza kwenda kusoma zaidi, katika hili Serikali ikae chini ijitafakari kwa kuwa zama za giza za kuwapeleka wananchi wanavyotaka zinazidi kuisha watu wanapata nuru.
Jioneeni Comment hizo na mnaweza kwenda kusoma zaidi, katika hili Serikali ikae chini ijitafakari kwa kuwa zama za giza za kuwapeleka wananchi wanavyotaka zinazidi kuisha watu wanapata nuru.