Miwani ya kuzuia mionzi hatari ya kompyuta, simu na tv

keikiu

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
2,334
1,969
- Hutakiwi kuikosa miwani hii, miwani hii ni PHOTOCHROMIC, inabadilika na kuwa nyeusi kila unapopigwa na mwanga wa jua na kuweza kukukinga na mwanga mkali wa jua.

- Itakukinga na mionzi mikali ya KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV inayopelekea kichwa kuuma chenyewe, Macho kutoa machozi na kuwasha, Macho kuweka ukungu, Hazina lenzi na hazina madhara, Inatumika kama kinga ya macho yasizidi kuathiriwa na mionzi. Furahia kuona vizuri kila unapotumia miwani hii kwenye kompyuta, simu au TV.

Bei: Tshs 60,000

Napatikana Dar es Salaam, Buguruni Malapa.
Kwa msaada zaidi piga 0742786967.

upload-productImg-1619165071871.jpeg
upload-productImg-1619165072550.jpeg


Kwa wakazi wa Dar es Salaam tunadeliver bure, popote ulipo utaletewa mpaka ulipo. Wahi mzigo ni mchache.
 
Hiyo si blue cut. Maana blue cut bei yake imechangamka kidogo.
je nikija na tochi ya mwanga wa blue itazuia usitokee au usipitilize.....kwa sababu kinachoumiza macho ni blue rays hasa kwenye vifaa vya bei nafuu vya kichana.....simu na tv
 
sitaki haribu biashara ya mtu ila hapa nasema ukweli, vioo vya kuzuia hiyo miale i.e blue cut ni ghali sio hizo bei zako
π‘©π’†π’Š π’šπ’‚π’Œπ’† 𝑻𝒔𝒉 π’π’ˆπ’‚π’‘π’Š
 
sitaki haribu biashara ya mtu ila hapa nasema ukweli, vioo vya kuzuia hiyo miale i.e blue cut ni ghali sio hizo bei zako
Ni miwani ambayo pia mimi mwenyewe naitumia na imekuwa ikinisaidia sana, naziuza kwa bei rahisi kusaidia wateja wangu kwa kuwa sitaki faida kubwa.
 
Ivi kuna uwezekano wa kuzitifautisha kwa macho kati ya bluecut na izo photoclomic
Ant Blue Light inazuia mwanga wote wa bluu ambao unaweza kuharibu macho yako kwa macho kuwasha, kutoa machozi na kuweka ukungu machoni, pia inasabisha kichwa kuuma kupita kiasi pale tu unapotumia kwa muda mrefu kompyuta, simu au TV. Ndio maana nimezileta miwani hizi ambazo ziko chache sana, ambapo mtumiaji akiwa na miwani hii atafurahia kutumia vifaa vyote hivyo bila kupata matatizo kama hayo.

Photochromic
ni ziada imewekwa kwenye hiyo miwani, ambapo wakati wa mchana unaweza kuivaa hata barabarani, jua linapokuwa kali inageuka na kuwa nyeusi na kukukinga na mwanga mkali wa jua pia. Zote hizo ni faida ya hii miwani.
 
je nikija na tochi ya mwanga wa blue itazuia usitokee au usipitilize.....kwa sababu kinachoumiza macho ni blue rays hasa kwenye vifaa vya bei nafuu vya kichana.....simu na tv
Ni kitu ambacho mimi mwenyewe nakitumia, mimi ni computer expert, kazi yangu muda mwingi nakuwa kwenye computer na ndio maana naiuza miwani hii, maana imenisaidia sana.
 
Back
Top Bottom