Misiba ya waislamu haina mambo mengi, nimependa sana

Na wametumia fursa vizuri ya utaratibu wa Dini/Iman ya kiislamu kutokuonesha sura ya Marehemu,kule unguja tunaenda zika sanduku tupu la mbao
UPO SASA Kama kweli walitii sheria za Dini ilikuwa ni LAZIMA azikiwe siku ile ile Lakini kwa kuwa Mazishi ni Mtaji kwa ccm ccm ilitamani imtembeze Nchi nzima
 
Hakuna andiko limekataza wakristo kuzika wala kutozika ndani ya muda fulani.

Hizi ni tamaduni tu. Kumbuka jangwani kuna joto hivyo maiti iliwahi kuoza so waarabu wakawa wanawahisha kuzika kukwrpa adha ya maiti kuoza.
Hapana mkuu usipotoshe hata egypt walikuwa na uwezo wa kupreserve maiti karne na karne, ila mwenyezi mungu ametuamrisha kumpa haki maiti na haki yake ni kuzikwa haraka iwezekanavyo hakuna kingine
 
Mbwembwe za wakristo waislamu wenyewe wanazipenda, huoni nao siku hizi nao harusi sasa hivi wanaanza kwenda ukumbini wakati walikuwa wanamalizia nyumbani tu chai na maandazi mawili tu shughuli imeisha sasa hivi na wao wanaomba michango ya ukumbini

Unafikiri na wao hawatamani mbwembwe kama zile za mwendazake?
Maziko mengi ya waisilamu siku hizi haya tofaoti sana na ya wakirito hata harusi pia mfano msiba wa mwinyi na ruasa tofaoti yake ni ng,ombe walichinjwa kwa vingi monduli lakini mambo mengine yako sawa kusafirisha kuaga nk

Siku hizi dini ya uisilamu inafuatwa na wakina sisi tusio na chochote
 
misiba yote haitakiwi mambo mengi, sema kuna baadhi ya watu wanataka kufanya hivyo. Inapokuwa na mambo mengi inaumiza wafiwa.
Inawaumiza kwa lipi hali yakuwa wao ndio wanao taka sifa,mfano kusafirisha maiti miaka ya nyuma walikuwa wakifanya hivyo wachanga wahaya na wanyakiusa lao kila kabila linataka kusafirisha
 
Hata mm nimependa misiba yao hawana muda wa kusema wawape wengine kiki ya kuimba misibani au kwenda na miwani nyeusi huku akiangalia pembeni je uwepo wangu umeonekana kalio mkekani wauza nyago mpaka tumeboreka
 
Mzee Mwinyi amefariki dunia jana, Leo anaagwa kesho anarudi kwa muumba, nimependa sana hii.

Itifaki sio kiviiiiile.
Ni maamuzi tu hata ukiamua ukifa leo uzikwe leo mbona si sheria ya kidini? Mambo mengine inaonesha hata Dini yenu hamuijui. Yesu alizikwa baada ya muda gani? Wapi imeandikwa kuwa na Itifaki flani? Hamsomi Biblia.

Mnajikuta mnasifia vitu ambavyo si vya ajabu. Biblia hata haisemi mtu akifa akaombewe. Mtu akifa ameshaondoka azikwe. Kama ilivyo andikwa kufa mara moja na baada ya kifo hukumu.
 
Hakuna andiko limekataza wakristo kuzika wala kutozika ndani ya muda fulani.

Hizi ni tamaduni tu. Kumbuka jangwani kuna joto hivyo maiti iliwahi kuoza so waarabu wakawa wanawahisha kuzika kukwrpa adha ya maiti kuoza.
Nimegundua wakristo wengi ni vilaza. Wanaangamia kwa kukosa maarifa. Hakuna sehemu Biblia inasema mtu akifa azikwe baada ya siku kadhaa au baada ya jambo flani. Wanapoamua kuzika after siku kadhaa ni wao. Na mtu akifa asubuhi ukaamua kumzika mchana ni maamuzi tu wala Biblia haijakataza. Sasa hawa vilaza wanajikuta wanasifia hata mambo ambayo yapo kwenye uwezo wao ila hawafanyi.
 
Back
Top Bottom