Misemo na maneno yaliyobamba zaidi Bongoland 2022

Last Seen

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
223
549
1. Mlete mzungu
2. Trab na trat
3. No mara waaa
4. Mwamba huyu hapa
5. Wanathiiimba
6. Ndoige
7. Niite mbwa nmekaa pale
8. Kumwagilia moyo
9. Kupaka maini rangi
10. Unaupiga mwingi
11. Afutatu

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2022, hii ni baadhi ya misemo na .aneno yaliobamba zaidi, Tujikumbushe mingine...
 
1. Mlete mzungu
2. Trab na trat
3. No mara waaa
4. Mwamba huyu hapa
5. Wanathiiimba
6. Ndoige
7. Niite mbwa nmekaa pale
8. Kumwagilia moyo
9. Kupaka maini rangi
10. Unaupiga mwingi
11. Afutatu

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2022, hii ni baadhi ya misemo na .aneno yaliobamba zaidi, Tujikumbushe mingine...
Usinchoshe nisikuchoshe by UMUGHAKA
 
Back
Top Bottom