Misemo maarufu kutokea kwa wadau wa mchezo wa soka nchini Tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,368
4,989
Wadau wa michezo hamjamboni nyote?

Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka

Mimi nianze kama ifuatavyo

Hamna Mchezaji hapo!
Hapo tumepigwa!
Unamuwekaje Kapombe Sub!
Huyo kocha hamalizi msimu!

Sasa endelea

Tukuumbuke kushirikiana sensa kikamilifu
 
Chama anapoozesha mashambulizi na hana faida team ikiwa haina mpira.
 
Pasi fyongo.
Pasi mkaa.
Katoa boko.
Kukaa na mali.
Pira biriani
Golini Kuna shati hakuna goalkeeper.
 
Back
Top Bottom