Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,084
- 6,569
SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.