Miongoni mwa kitu Mwenyezi Mungu amenilaani na hatanisamehe ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

Nimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!

View attachment 2966477
Tatizo sio chama kama taasisi!

Tatizo Kuna vitu wanausalama waliruhusu Kwa hili taifa!

Kumuacha kiongozi Tena mwenyekiti was chama kutumia kodi kutibu hisia zake badala ya uzalendo Kwa taifa!!

Matokeo yake rushwa,ufisadi,wizi,kujuana Hadi wanadiriki kusema"CCM Ina wenyewe"yaani ccm sio tena taasisi huru ya wanachama bali ccm imewekwa mfukoni na kakikundi Ka watu!

Ndio Maana hayati alichanganyikiwa na yeye akaanzisha CCM ya magufuli kwasababu alihisi chama kimeporwa na wahuni!!

Wanausalama lazima walinde vyama vinvyoshika Dola visiwe chini ya kamtandao ka watu!chama kiwe huru!!

Najivunia kuwa mwanaccm nilie huru Hadi pale upinzani wenye maono ukishika Dola ndio nitafikiria upya!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom