Nikaribisheni , nilikuwa guest sasa hivi nimejiunga rasmi
Kuna uzi nilimuona janaMgeni gani una mdomo hivyo, sema id yako ya mwanzo
Ni ya nani hii dada depooo ?
😀😀 sijui, ila ni mtu anajaribu kuvua gamba. Mgeni gani mkawa mnapiga stori za elf3??Ni ya nani hii dada depooo ?
Naunga mkono hoja dada depoosijui, ila ni mtu anajaribu kuvua gamba. Mgeni gani mkawa mnapiga stori za elf3??