Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,269
- 5,669
Nchi ina laana hii,watu hawana mikopo mashuleni,madawa bado ni kitendawili,umeme ambao uko stable ili kusapot hata hawa wajasiriamali wadogowadogo na wao wafikie malengo hakuna,Unachukua fungu la pesa unaenda kumpa mtu ili tu akubaliane na wewe kile unachotaka.
Vyama vya siasa nchi hii havina hata future,si CCM si Chadema,wote walioko vyama hivyo wanaangalia matumbo yao na wala sio kuwatumikia watu wao,mtu anataka akiamia chamani kesho tu maisha yake yafikie malengo,sio malengo ya kuwahudumia wananchi bali ni kujhudumia wao,jana uliamia chama fulani alafu mbaya zaidi kwa tambo na mbwembwe,leo hta miezi 2 haijafika unarudi kule kule uliko hama jana tena kwa kashfa,Huwa najiuliza hivi huyu wakati anahama alifanya hata ka utafiti kidogo kujiridhisha kwa nini anahama? sawa kulala chadema na kuamkia CCm ni haki yako kikatiba,ila upande mwingine ni kipimo cha uzuzu alio nao mtu,kama kweli ulikuwa mkweli,madahifu ya chama yanarekebishwa na wahusika yaani wanachama,ila sio kuhama au vinginevyo utuamie nimejitahidi kurekebisha hili sijafanikiwa
Nao nchi attention yote iko kwa wahama vyama,hamna anaeongea tena kuhusu tatizo ala umeme huku mtaani kwetu