Mbona naona chenga tu...
Kidoti.ni katika mwanamke ambae simfeel kabisa wakuu, sjui wengine wanateswa nini na huyu mwanamke, kiukweli hamfikii hata kwa mbali wema. ova
Hizo zinafaa kupikia uji halafu kitafunwa fenesi.Mbona naona chenga tu...
Hizo zinafaa kupikia uji halafu kitafunwa fenesi.
Na hapo lengo lake la biashara matangazo linakuwa limetimia.sasa alivyovaa unategemea itakuaje hapo? lazima wampige chabo
Wanaaume kama mabinti, sasa sisi hapa inatuhusu nini? au wewe ndio mke wa Diamond unajipigia promo hapa?
Acha kujifanya mjuaji wewe, Mike McKee ni Co Founder wa JF.hivi nyie mnao changia mnamjua mike mushi au mnaongea tu?. Hii imewekwa hapa kama joke na mike mushi kaona kabakia kucheka. kwa kuwasaidia mike mushi ni msemaji wa www.jamiiforums.com. mia
Vipi mshikaji, wewe ni mpenzi wa voyereusm? (uchunguliaji wa.........)