Miji 25 mikubwa (kwa idadi ya watu) Afrika ya Mashariki (Kenya, Uganda & Tanzania)

Nchi gani ina ulinganifu mzuri wa maendeleo katika miji yake Afrika Mashariki?

  • Kenya

    Votes: 14 32.6%
  • Uganda

    Votes: 0 0.0%
  • Tanzania

    Votes: 26 60.5%
  • Rwanda

    Votes: 2 4.7%
  • Burundi

    Votes: 1 2.3%

  • Total voters
    43

Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,799
4,195
NAFASI MJI IDADI YA WATU NCHI
1 .........Dar es salaam ........4,364,541 ......Tanzania
2 .........Nairobi ...................2.765.657 ......Kenya
3 .........Kampala .................1,820,200 ......Uganda
4 .........Mombasa ..................795.174 ......Kenya
5 .........Mwanza ....................706,543 ......Tanzania
6 .........Arusha ......................416,442 ......Tanzania
7 .........Dodoma ....................410,956 ......Tanzania
8 .........Kisumu ......................394.684 ......Kenya
9 .........Mbeya .......................385,279 ......Tanzania
10 .......Morogoro ...................315,866 ......Tanzania
11 .......Nakuru .......................276.263 ......Kenya
12 .......Tanga .........................273,332 .....Tanzania
13 .......Kahama ......................242,208 ......Tanzania
14 .......Eldoret ........................230.351 ......Kenya
15 .......Tabora ........................226,999 .....Tanzania
16 .......Ruiru ...........................225.794 .....Kenya
17 .......Zanzibar ......................223,033 .....Tanzania
18 .......Kigoma ........................215,458 .....Tanzania
19 .......Sumbawanga ...............209,793 .....Tanzania
20 ........Kasulu .........................208,244 ......Tanzania
21 .......Songea ........................203,309 ......Tanzania
22 .......Moshi ..........................184,292 ......Tanzania
23 .......Musoma ......................178,356 .......Tanzania
24 .......Machakos ....................166.367 .......Kenya
25 .......Shinyanga ...................161,391 ........Tanzania
 
Sio za kweli tanga tupo 1.5 milion
ukibahatika kuelekea Tanga, fika Halmashauri ya jiji au pita kwa Diwani wako akwambia Manispaa au Jiji la Tanga lina kata ngapi.. sasa kutoka katika kata hizo atakazokwambia ndio itakuwa idadi sahihi ya watu wanao kaa Tanga mjini... hiyo yako ya 1.5 mil ni idadi ya mkoa mzima ikiwemo Handeni, Muheza, Korogwe, Pangani, Lushoto, na Tanga vijijini
 
Expired data!
expired!!? unatania sio?
Sensa hatuhesabu kila siku... next census ni 2022... so data tunazopata leo na viashiria vyake ni valid until new census is carried... Kiongozi.. au unatafuta ku-discredit hii list?
 
Unazo Data za sensa ya Kenya ya 2017?! Maana last time I checked Kenya hawajahesabiana since last census! 2010...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom