Mifuko ya pensheni na uwekezaji usio na tija!

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,635
32,384
Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba.

Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni (8.89b TZS).

Watu wanaendelea ku-enjoy kama hakuna kilichotokea. Kikotoo ndo hicho.

NB: Mjini mipango, deni la Watanganyika

5003b7fa45394528b5837a6414252a6b_438109429_849340620569835_420451708590132032_n.jpg
 
Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba. Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni. Watu wanaendelea.ku-enjoy kama hakuna kioichotokea. Kikotoo ndo hicho.
Fafanua hilo deni lime accumulate je?
 
Blue Pearl Hotel ni asset ya PSSSF au NSSF na wanamiliki hisa ngapi 100% or less?

Taarifa yako ya juu juu sana ngumu kuelewa what exactly you are on about.
 
Back
Top Bottom