Hawakuwa wanataka kazi ndio maana walikuwa wanafanya vitu vya ajabu,Kupeleka watu 71,000 mtaani kwa kuwabambikizia mambo ya ovyoo ilhali ukweli ni matatizo ya kiuchumi serikali kushindwa kukimu, dah nyie huvunja rekodi, yaani mwanzoni nilidhani nimeskia vibaya 71....kumbe 71,000 yaani umaskini ni laana.
Kufutwa kazi kutokana na changamoto za kiuchumi ni kitu cha kawaida, nimekuambia hutendeka hata kwenye nchi tajiri zaidi yenu mara 1,000 sembuse shithole maskini kama nyie ambapo wengi wenu asilimia 70% mnaishi kwa kiwango cha chini cha umaskini.
Kwenu hakuna mgomo unaweza tokea watu watapigwa risasi kiakwilina afu hamjui haki zenu Tena hata wahudumu was afya kwenu Ni kiasi kidogo mno. Ukifungua Uzi tumia akili Kwanza na ujiulize maswali Kama Haya;Kenya mnafeli wapi? Kila kukicha migomo. Ona sasa wahudumu wa afya kulianzisha Jumatatu ya tarehe 4, November, 2019.
Wameapa hakuna kitakacho wazuia.
View attachment 1251283
Kwenu hakuna mgomo unaweza tokea watu watapigwa risasi kiakwilina afu hamjui haki zenu Tena hata wahudumu was afya kwenu Ni kiasi kidogo mno. Ukifungua Uzi tumia akili Kwanza na ujiulize maswali Kama Haya;
Je hili linaweza tokea Nchi ya Dictatorship?
Je mishahara ya wahudumu wetu was afya ukilinganisha na ya Wakenya inatoshana?
Mbona Niko obsessed na Kenya hivi Kama sio kuipenda Ni wivu?
Kumbe u watch this shitty low quality channel? ITV!😂😂😂 I tried once, mko down deadly!Kenya mnafeli wapi? Kila kukicha migomo. Ona sasa wahudumu wa afya kulianzisha Jumatatu ya tarehe 4, November, 2019.
Wameapa hakuna kitakacho wazuia.
View attachment 1251283
Nimekuambia makampuni hufuta watu, ni jambo la kawaida hata kwenye mataifa yenye uchumi mara 1,000 ya Tanzania, ila kwenu huko wanaofutwa kazi wanatimuliwa bila kulipwa, kutolewa nje nje kwa kudhulumiwa na kwa mlivyo waoga na wazembe mnaishia kupiga kimya.
Kufutw kazi mnafutwa tu, TANROAD wamefutwa 71,000
Nimekuambia makampuni hufuta watu, ni jambo la kawaida hata kwenye mataifa yenye uchumi mara 1,000 ya Tanzania, ila kwenu huko wanaofutwa kazi wanatimuliwa bila kulipwa, kutolewa nje nje kwa kudhulumiwa na kwa mlivyo waoga na wazembe mnaishia kupiga kimya.
Kufutw kazi mnafutwa tu, TANROAD wamefutwa 71,000
#COSATU CEC declares: All workers and COSATU unions should fight back and go on strikes against employers undermining collective bargaining. We have the freedoms and rights to defend@TreasuryRSA@deptoflabour@UpdateAtNoon#JoinCOSATUNowpic.twitter.com/cYLYhkzkaC
— @COSATU Today (@_cosatu) August 26, 2020
Alafu bado 2020 mnatajwa hapa👇👇👇👇 na mmeongeza idadi na kuipiku Ethiopia, CCM imewaficha mengi, imefaulu kwa "danganya toto jinga za Tanzania, numbers never lie 😂😂😂 Kenya iko na vibrant private sector, sio tu serikali. Sasa mmeipiku SA? na USA ya Trump? Taarifa zao ni negative, SA growing negative (uchumi za kwenye makaratasi, ya Tanzania ni ya uji)Nchi yenyewe wanayoigomea imeonesha kila dalili ya hali mbaya ya kiuchumi, kitendo cha kusitisha ajira kwa miaka kadhaa ni hali ngumu ya kiuchumi
25 million Kenyans out of 44 million are struggling in the pool of povertyAlafu bado 2020 mnatajwa hapa👇👇👇👇 na mmeongeza idadi na kuipiku Ethiopia, CCM imewaficha mengi, imefaulu kwa "danganya toto jinga za Tanzania, numbers never lie 😂😂😂 Kenya iko na vibrant private sector, sio tu serikali. Sasa mmeipiku SA? na USA ya Trump? Taarifa zao ni negative, SA growing negative (uchumi za kwenye makaratasi, ya Tanzania ni ya uji)
View attachment 1634165
Tanzania ni wapumbavu kweli, wazembe kupindukia,kabla ya kukurupuka hawafanyi utafiti, wako peke yao kwa kutoshiriki industrial strikes, ndio maana wataendelea kutajwa nchi iliyo jaa masikini wa kutupwa karne hii!😂😂😂
Examples of industrial strikes in developed countries and emerging ecinomies;
Germany
Thousands of members of the metals and engineering union have walked out in one-day "warning strikes" between Tuesday and Friday. They were the union's first such strikes in 34 years.Germany strikes explained: The long and the short of it
Industrial workers want the option of working less to look after their families, while not losing pay.www.bbc.com
Among the companies affected are Porsche and Daimler, which produces Mercedes-Benz cars.
The dispute comes down to two main points.
Firstly, the union wants a pay rise of 8% for its staff over the next 27 months. Employers have offered a 6.8% increase.
Secondly, it also wants:
IG Metall chief Joerg Hofmann said: "We need pay to be subsidised, so that children, caring for family and health don't depend on how much you have in your wallet."
- companies to let workers have the option of cutting their weekly hours from 35 to 28, to allow them to look after their children or elderly or sick relatives
- the same option for those shift workers who do more dangerous work
- a guarantee that those workers can return to full-time work after two years
- a guarantee that those workers are still paid the same even if they reduce their hours
But Oliver Zander, of metals industry federation Gesamtmetall, disagrees. "The basic principle that whoever works less also earns less, must continue to apply," he told Die Welt. "We can not shake it."
Strikes in the US (clik on the link)
The 10 Biggest Strikes In U.S. History
From the Pullman Strike to the Postal Strike, these disputes help illustrate the major trends throughout the history of U.S. labor.www.investopedia.com
Italy
3 Oct 2020 | 05:25 AM UTC
Italy: Transport strike expected October 22-23
Transport strike expected throughout Italy on October 22-23; confirm travel itineraries
TIMEFRAME expected from 10/13/2020, 12:00 AM until 10/24/2020, 11:59 PM (Europe/Rome).COUNTRY/REGION
Italy
Warning Transportation Italy
Italian transport unions are expected to go on strike between Thursday and Friday, October 22 to 23, with a general strike affecting planes, trains, and metropolitan public transportation nationwide. The strike, which will commence at 21:00 (local time) on October 22, is to last for 24 hours. Workers in public and private transportation companies are expected to take part. Train services are expected to be severely affected, although guaranteed services will be available at rush hour, between 06:00 and 09:00 and 18:00 and 21:00. An aviation sector strike is also expected between 00:01 and 23:59 on October 23. The strike is being organized by the Unitary Base Confederation (CUB), which is demanding better working conditions for those in the transport industry.
Tanzania bado wako porini
Freedom of capitalism vs bondage ya socialism/communism. If you know you know.Sindano imefika kwa mfupa.
Wenzako nchi za ukweli, wanagoma after a reasonable period of time. Sasa nyie wahudumu wenu wanagoma kila juma.
What a failed state.
Source BBC. swahili.
Nenda dk 12:15 ya hiyo video.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne - BBC News Swahili
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 24/11/2020 na Zuhura Yunuswww.bbc.com
Tanzania 28 million extremely poor less than 0.99$!, na kwa kigezo cha 1.9$ mtakua 90%., World Bank ni wasema ukweli kama mlikubali nyie mido income WB walivyo wataja, kubali maoni yao ya hali yenu wacha kutapatapa na Kenya. Shughulikia hali yenu.25 million Kenyans out of 44 million are struggling in the pool of poverty View attachment 1634262
Hahahaha hoja yako nzuri kweli ila umesahau tu kwamba gharama za maisha Kenya ni ghali mara 5 kwa Tanzania, 1000 huko Kenya is almost buying nothing ila Tanzania ni pesa nyingi sana.swali muhimu praise team wanafaa kujiuliza hawa walimu madaktari na wafanyikazi wa serikali wanaogoma wanalipwa ngapi compared to CCM republic? karibu mara tatu..
na mbona wafanyikazi wa ccm republic hawana uwezo wa kujitetea ili waongezewe mshahara na mazingira ya kufanya kazi iimarishwe