Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

"Russia passed a law last month that prohibits the public discussion of gay rights and relationships anywhere where children can hear it".

Zitto na EMT hivi hatuwezi kuongeza hiki kipengele katika sheria zetu ili tufunge hii mijadala kabisa?
 
Niliipata iyo Taarifa 2011 ila ckuamini kivile koz jamaa alivyo act mule ndani like a really Man kumbe choko daaaah!!!!
Ila Co vitu vya kushangaa tumuombee 2 ili cku moja aweze kuzinduka nakujua kuwa ni Vibaya kwa Mungu koz ujui ya kesho unaweza pata m2 wa familia yako akawa ivyo either Son,Brother even Uncle!!!!
May GOD b with us Tanzanian's.!!!:yield::Cry::Cry:

Very true..

Regards,
Jonathan.
 
"Russia passed a law last month that prohibits the public discussion of gay rights and relationships anywhere where children can hear it".

Zitto na EMT hivi hatuwezi kuongeza hiki kipengele katika sheria zetu ili tufunge hii mijadala kabisa?

It would be ridiculous to prevent such public discussion especially in the modern world where such discussion can be done by adults on the internet and children can read and even participate in the discussion anonymously.

Prohibiting the public discussion of gay rights and relationships anywhere where children can hear will do nothing kuondoa ushoga.

Hapa Tanzania ni kinyume na sheria kufanya vitendo vya ushoga, lakini mbona ushoga umeenea kila kona na tena unafanywa waziwazi?

Law is not a solution to every problem. Kama morals zimeshuka, hata hata ukileta sheria sidhani kama itasaidia sana especially where the law is not even rigorously enforced.
 
Mkuu umuhimu wa sheria kama hizi si wa kupuuza hata kama hautafanikiwa kwa asilimia 100 lakini uhuru wa majadiliano wa hizi mambo hautakuwa kwa kiwango kile kile tena mbele za watoto.
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!

If that is the case mbona hakuna maelezo yoyote ya kuumbwa kwao ktk vitabu vya imani yoyote ile? Wangetengewa na vyoo vyao ktk public places/buildings. Kwa uelewa wangu mdogo jinsia ni mbili tu hiyo ya tatu ni ya kulazimisha tu haipo. Na tusipo simama kidete kukemea upuuzi huu .... watambueni na wabakaji, majambazi n.k wote ni binadamu na wamezaliwa hivyo!
 
Mkuu umuhimu wa sheria kama hizi si wa kupuuza hata kama hautafanikiwa kwa asilimia 100 lakini uhuru wa majadiliano wa hizi mambo hautakuwa kwa kiwango kile kile tena mbele za watoto.

Yapo mambo mengi ambayo yanaongelewa mbele ya watoto. Watoto wanaangalia TV tena bila parental control na wanaona na kusikia hayo mambo.

Wakikatiza mitaani wanaona hayo mambo. Ukim-ban mtoto kutofanya kitu fulani bila maelezo bado atataka kukifanya kutaka kujua kwa nini amemkuwa banned.

Chukulia mfano wa matatizo mengine kama rushwa, madawa ya kulevya, nk pamoja na kuwepo kwa sheria dhini ya makosa hayo lakini ndiyo kwanza yameshamiri.

Hivyo hivyo, kuzuia public discussion juu ya ushoga kwa kutumia sheria haitasaidia. Sana sana itakuwa ni short cut.

Tatizo usiyo ukosefu wa sheria bali moral decay in the society.
 
Its a fact watoto kujua lazima watajua na maswala ya moral decay yana anzia katika familia zetu ambazo tunaishi,kinacho takiwa ni kwamba sisi wanafamilia na wazazi twapaswa kuwaeleza na kuwa ambia watoto ukweli sio kama vile zaman ilivyokua kuwadanganya but laws will be more enforceable than having no laws,imagine kwa tanzania ya leo tuseme sheria ya madawa ya kulevya haipo uone jinsi itavyokua hapa,sheria lazima iwekwe ku restrict unless kesho kutwa wakiibuka watu fulani katika jamii wakasema ati sisi tuna dini yetu ambayo tuna amini LGBT ni perfect utaweza kukataa??they say where the Law is Silent you can Never interpret so tutawapa haki yao ambayo ni uhuru wa ubinafsi na faragha na unyumba katika katiba yetu,nadhani sheria iwepo,na penalty kwa hawa ni death though we should not condemn and judge ila tunajitafutia laana kwa huyo Mungu

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
This is the Boy.

150px-Michaelscofieldtattoo.jpg

Tatoo all over his body can bear a witness, that sio rizk, anawashwa.

Michael%20Scofield%20.jpg

Huyu dogo wanamla kiboga.
 
... but laws will be more enforceable than having no laws,

It is pointless to have a law which is not rigorously enforced.

Having too much law does not mean that it will be enforced.

Having the law and enforcing it are completely different matters.

imagine kwa tanzania ya leo tuseme sheria ya madawa ya kulevya haipo uone jinsi itavyokua hapa,
Kwani sasa hivi biashara ya madawa ya kulevya ikoje Tanzania?

Mbona kuna sheria dhidi ya madawa ya kulevya lakini biashara yenyewe ndiyo kwanza imekomaa? Tatizo ni nini?

sheria lazima iwekwe ku restrict unless kesho kutwa wakiibuka watu fulani katika jamii wakasema ati sisi tuna dini yetu ambayo tuna amini LGBT ni perfect utaweza kukataa??

Mbona sasa kuna sheria dhidi ya ushoga umesambaa kila kona ya nchi? Ulichondika hapo ni unafiki. Hata wewe mwenyewe unajua kuwa ushoga upo kila kona ya Tanzania. May be unawajua hata Watanzania ambayo wanafanya mambo ya kishoga kinyume na sheria. Probably, unajua hata sehemu amabazo zina-promote ushoga. Lakini umefanya nini kulinda na kuitetea sheria dhidi ya ushoga? BTW who are you do judge private lives of others? If you really don't want your belief or faith be questioned, then don't question the belief or faith of others. Kama mashoga wataamua kuwa hata na dini yao, is non of my business. Mie mwenyewe nilizaliwa na kuikuta dini ninayofuata.

they say where the Law is Silent you can Never interpret

Sheria gani ambayo ipo silent?

so tutawapa haki yao ambayo ni uhuru wa ubinafsi na faragha na unyumba katika katiba yetu,nadhani sheria iwepo,na penalty kwa hawa ni death though we should not condemn and judge ila tunajitafutia laana kwa huyo Mungu

Hapa unajichanganya. It is useless kumpa mtu haki halafu unamnyima uhuru wa kupractice hiyo haki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom