Mh Mrema katika pozi la kutuma sms nje ya bunge!!!!!!!!!!

Ngoja bunge lipambe moto ndo utaona kuwa ata sukari alikuwa hana.
Mshahara wa 12mil

Hapo sasa! Pamoja na kufahamu ukweli wa kuumwa kwake, lakini nasubiri kwa hamu sana kuona ile sabuni ya roho nayo ikifanya fitu fyake!
 
oh my! inaonekana na hii simu aliishikilia kweli kweli isije kudondosha betri! Dah kachoka kweeeeeeli... hope baada ya mshahara wa mwezi huu atanonanona kidogo
 
Mrema oyeeeeeeeeeeeee...
mie nampendaga sana huyu baba,
sijawahi acha kumpenda,
hata alivyoporomoka kisiasa na kubezwa mie i had absolute faith atarudi tu kny siasa na AMERUDI...waaa waaaah
kwetu vunjo we have a lot of faith in YOU BABA...!:tape:
 
Du kweli njaa mbaya...!! Kuna mdau pale Rose Garden jana alisema hata Dodoma Mrema alichelewa kufika kwa sababu ya issue za nauli ya kwenda Dodoma likuwa hana!!

Sijui kama ni kweli!!

Kwani manaibu waziri mkuu hawapati posho baada ya kustaafu?
 
Wanavunjo ni watu wenye fadhila sana, kuna kila dalili kwamba wamemrudisha Mrema bungeni siyo kwa matarajio ya kuletewa maendeleo huyu mzee ambaye anaonekana kachoka kwa kila namna, ila wamemlipa fadhila kwa yale aliyotenda miaka hiyoooo! Big up Vunjo!
 
mremasms.jpg
 
Yaani we unaitaja waziwazi hata huogopi?

hivi ni nini unajua nimejisema tu coz nawasikiaga wakisema halafu huwa napenda kweli wanavyoisema.
mungu wangu weee jamani msiwaoneshe mamods kama ni matuthi sijakusudia,naogopa ban.
 
Miaka 5 kuanzia sasa hadi 2015 sitegemei kama tutabakiwa na viongozi wengi..Sita shangaa hata wengine wakadondoka na kushindwa kusimama kabisa....Laana za watanzania maskini na wanyonge zitawafuata popote mlipo.

Hata vitabu vya mungu vimeandikwa kila mwenye kutenda dhambi atahukumiwa na hukumu huanzia hapa duniani !!! Mrema alikuwa changamoto kubwa sana katika mageuzi na tulio wengi tulidhani hivyo na kuona mtetezi wetu Mrema yu HAI..Kumbe arawa huyo ni infiltrator mkubwa wa SISIEMU.!! Hivi walisha mfanyia ELIZA Test ?
 
Mh hii kali...ina maana Mrema ni mamluki???sasa mbona kachakaa hivyo hizo hela za umamluki anapeleka wapi??maskini usikute anasingiziwa Mzee wa watu. I still admire him, ni kati ya wapinzani mahiri wasioogopa chochote.
 
Back
Top Bottom