Mh Dr. Gwajima D Kuna ujumbe wako pm

Status
Not open for further replies.
Nisingekuwa na Siri nikiyoandika huko ningeyaweka hapa. Wasaidizi wake, ndugu na wenye namba yake wakiona Uzi watakopi link nakumtumia ili ajue Kuna ujumbe wake muhimu.
Kuna wakati namba yake aliiweka humu kwenye uzi wa kuasili watoto
 
Kuna wakati namba yake aliiweka humu kwenye uzi wa kuasili watoto
Hapa kijijini kwetu tunaita kipwipwili/haraka ya muitikio wa jambo.
Comment yako inatusaidia nini?👆 Waziri amejibu kwa haraka na ameweka namba yake na tatizo linakwenda kushughulikiwa 👇 ni vema tujifunze kujengana siyo kukatishana tamaa

Huyo Waziri yupo sharp sana,atakusoma
Habari za asubuhi, naenda kusoma ila sina hakika nitajuaje kama huo ndiyo wako? Unaweza nitumia sms kwenye 0765345777 pia copy 0734124191 tafadhali. Shukrani.
Mwenyezi Mungu akupe afya njema uzidi kuwatumikia wa Tanzania, hakika wewe ni mzalendo wa kweli,
 
Dada Dorothy hebu jiandae uchukue form kule kwetu ...yule jamaa imetosha! Tutakuunga mkono Kwa hali na mali
 
Hii ni abuse, kisa waziri kajitoa kufanya kazi aina maana kila saa awekwe on the spot na kila poyoyo mwenye kujisikia kumuanzishia mada

Waziri sio mtu wa mzaha mzaha kumuita humu kama tunavyojisikia kama vile mwenyekiti wa mtaa.

You can’t please everyone minister
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom