Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,441
8,261
Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa.

Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja na maelezo kuhusu hali ya moyo ya rais.

Rais Andres Manuel Lopez Obrador alithibitisha wizi huo, ambao ulifichuliwa kwa mara ya kwanza na vyombo vya habari vya ndani.

"Ni kweli, kulikuwa na udukuzi wa mtandao," alisema, akibainisha kwamba wadukuzi walitumia mabadiliko katika mifumo ya kijeshi ya IT.

Hata hivyo, alisema kuwa hakuna taarifa nyeti zilizoibiwa.

======================

What do we know about the data theft?

The six terabytes of data stolen included, among other things, Lopez Obrador's state of health and a number of security issues, the news portal Latinus reported.

According to Latinus' assessment, tens of thousands of emails and documents were hacked, dating from 2016 to September this year.

The data also reportedly included details of criminal figures, transcripts of communications, and the monitoring of the US ambassador to Mexico Ken Salazar.

Other documents referred to details of a failed military operation to arrest a son of drug baron Joaquín "El Chapo" Guzman in 2019.

Why the fuss about the president's health?

The hack revealed personal details about the 68-year-old president's angina, which he was treated 10 times for in the first half of January.

DW
 
Napenda hivoo.... Vp za kwetu si Ni magazeti Kama ya Uhuru , mwananchi au Mwanaspot.
#Biatamu
 
Cyber war cyber crime vulnerable systems easy to penetrate

Nchi fulani sijui mambo yapoje
 
Mdukuzi mwenyewe ndie mimi anaetaka taarifa aje kule blackweb ajipatie kwa tzs10,000 tu.🤣 paka wa mtaani wanakwisha nahamia mtaa wa pili supu/ kitoweo kitamu sana hii. Shukran ziende kwa kaka Ching Du Yao Teng, kilo nyama tzs 8,000 mtaani paka bure😂
 
Back
Top Bottom