Media ni Mhimili Muhimu kama ile mitatu ila ni dhaifu kiuchumi. Je, imefika wakati wapewe Ruzuku au iachwe ipambane na hali yake?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,638
113,866
Wanabodi

Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania, MCT, mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, na Ijumaa tukaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Hivyo mimi kama kawa na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, maelezo, kisha jibu, utatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la Hoja ya leo ni Media ni Mhimili Muhimu kama Ile Mihimili 3, Ila uko Dholfu Bin Taaban Kiuchumi. Jee Ufike Wakati Media Iwezeshwe au Tuendelee tuu Hivi Hivi Tulivyo?.

Jana ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Habari Tanzania, Je kuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.

Wakati nikiishi Uingereza, niliajiriwa na taasisi ya FCO ya Uingereza, kwenye salary slip yangu, nikajikutwa nakatwa fedha zinaitwa Radio Levy, kwa ajili ya kugharimia Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Pia kuna kodi ya TV set.

Nikamfuata mtu wa admini nikamwambia mimi kwangu sina redio, wala sisikilizi BBC, na hata kama ningekuwa nayo, ningesikiliza RTD na sio BBC, hivyo naomba kwenye slip yangu nisikatwe Radio Levy wala TV Set. Ndipo nikaelezwa malipo hayo ni statutory, lazima ulipie uwe unasikiliza BBC au hausikilizi, as long as uko UK, and you make money, una wajibu wa kugharimia media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu kati ya media na vyama vya siasa hadi kustahili ruzuku?.

Jee ufike wakati Tanzania tuintroduce media levy, huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, au media iendelee kuachiwa hivyo hivyo ipambane na hali yake?.

Paskali
 
Hapana wanahitaji kuwa wabunifu
Media kazi Yao ni kuripoti washa na matamasha hakuna habari zinazovutia Wala kufichuka maovu ya serikali na watu wengine katili kwa uma
Media zote Sasa vipindi pendwa ni uchambuzi wa soka na betting company
Siku ya uhuru wa habari kauli mbiu inakuwa sijui mazingira na Nini kwenye nchi ambayo ubadhirifu wa fedha za uma uko kwenye kiwango Cha juu kabisa
Hakuna maji safi maeneo mengi
Hakuna umeme
Hakuna barabara
Huduma za afya zinazorota
Rushwa inashika hatam
Jamii inatetereka kimaadili (refer wadudu kupewa coverage kwenye shughuli kubwa zaidi kitaifa)
Media I deal na issue Kali sio issue soft Kisha ianze kuomba ruzuku ili iwe chawa zaidi (Sasa wadudu)
 
Pasco hajajua kwamba ajira yake huko kwa mabeberu, Tanzania ndiyo faili lake la uteuzi linakwamia hapo, tutajuaje kama hajawa recruited

Nashauri ziwepo funding kwa vipindi vya kijamii, au kiuchumi, sayansi na teknolojia, au elimu. Lakini fedha hizo wasipewe wamiliki wa vyombo vya habari moja kwa moja. Ziwepo write up kutoka katika chombo cha habari, au taasisi ya mambo ya habari, au kundi la waandishi, na fedha ziwe zinasimamiwa na bodi huru.

Pia kama tutakatwa hizo statutory fees kwa ajili ya TBC, je tuna maeneo ya kimkakati nje ya nchi ambayo tunahitaji kuji-propagate? Wapi? Burundi tuwavutie matajiri wa huko waje wawekeze? Congo? Tuipambe nchi yetu huko mabilionea wa Congo wakichoka milio ya risasi waje Tanga wale upepo mwanana? Uingereza wanafanya hivyo kwa sababu ni sehemu ya Neo Colonialism, kuhakikisha wanaitawala dunia kupitia habari, na wana shape mafikirio ya dunia yaendane na mtazamo wao. Sisi target yetu itakuwa ipi? Hasa kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati!

Tuna information war na taifa lolote ukanda huu, au walau Afrika? May be kidoogo kenya katika tourism, kwamba mlima kilimanjaro sijui mbuga ya serengeti iko wapi.

Ubeberu wa habari unaendana na ubeberu wa kiuchumi, ni mapacha
 
Wanabodi

Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania, MCT, mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, na Ijumaa tukaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Hivyo mimi kama kawa na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, maelezo, kisha jibu, utatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la Hoja ya leo ni Media ni Mhimili Muhimu kama Ile Mihimili 3, Ila uko Dholfu Bin Taaban Kiuchumi. Jee Ufike Wakati Media Iwezeshwe au Tuendelee tuu Hivi Hivi Tulivyo?.

Jana ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Habari Tanzania, Je kuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.

Wakati nikiishi Uingereza, niliajiriwa na taasisi ya FCO ya Uingereza, kwenye salary slip yangu, nikajikutwa nakatwa fedha zinaitwa Radio Levy, kwa ajili ya kugharimia Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Pia kuna kodi ya TV set.

Nikamfuata mtu wa admini nikamwambia mimi kwangu sina redio, wala sisikilizi BBC, na hata kama ningekuwa nayo, ningesikiliza RTD na sio BBC, hivyo naomba kwenye slip yangu nisikatwe Radio Levy wala TV Set. Ndipo nikaelezwa malipo hayo ni statutory, lazima ulipie uwe unasikiliza BBC au hausikilizi, as long as uko UK, and you make money, una wajibu wa kugharimia media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu kati ya media na vyama vya siasa hadi kustahili ruzuku?.

Jee ufike wakati Tanzania tuintroduce media levy, huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, au media iendelee kuachiwa hivyo hivyo ipambane na hali yake?.

Paskali
Hiyo Tuzuku iende hadi Private Mefia au TBC pekee ? Naona fujo fulani hivi.....ikiwa ipo hadi private....kama sivyo serikali ipambane na media zake
 
Unawapa wangapi? Labda kuchagua ambao ni level ya juu! Elimination criteria itakuwa ngumu.
Pili na mkishalipwa, mnakuwa mateka wa serikali!
Kabisa, mtu kama Deodatus Balile, kwa sasa kahamia Tabora kabisa, hataki kutumia fedha nyingi kulama asali
 
Wanabodi

Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania, MCT, mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, na Ijumaa tukaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Hivyo mimi kama kawa na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, maelezo, kisha jibu, utatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la Hoja ya leo ni Media ni Mhimili Muhimu kama Ile Mihimili 3, Ila uko Dholfu Bin Taaban Kiuchumi. Jee Ufike Wakati Media Iwezeshwe au Tuendelee tuu Hivi Hivi Tulivyo?.

Jana ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Habari Tanzania, Je kuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.

Wakati nikiishi Uingereza, niliajiriwa na taasisi ya FCO ya Uingereza, kwenye salary slip yangu, nikajikutwa nakatwa fedha zinaitwa Radio Levy, kwa ajili ya kugharimia Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Pia kuna kodi ya TV set.

Nikamfuata mtu wa admini nikamwambia mimi kwangu sina redio, wala sisikilizi BBC, na hata kama ningekuwa nayo, ningesikiliza RTD na sio BBC, hivyo naomba kwenye slip yangu nisikatwe Radio Levy wala TV Set. Ndipo nikaelezwa malipo hayo ni statutory, lazima ulipie uwe unasikiliza BBC au hausikilizi, as long as uko UK, and you make money, una wajibu wa kugharimia media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu kati ya media na vyama vya siasa hadi kustahili ruzuku?.

Jee ufike wakati Tanzania tuintroduce media levy, huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, au media iendelee kuachiwa hivyo hivyo ipambane na hali yake?.

Paskali
Kama tu sasa hivi hampewi ruzuku na serekali lakini mnajikomba hivi, mkipewa hiyo ruzuku si ndio mtakuwa machawa wa hatari?
 
Wanajitahidi angalau, kama taarifa za Chadema kuchapana makonde wakigombea rushwa zinapatikana!? Ni hatua nzuri sana, nani angejua Lissu angekuwa analilia mgao wa rushwa!?
 
Nakubalian n wewe mkuu Paskali.
Viongozi weni wanapenda media inpowapamba u kuwaenezea propaganda zao.
Lakini wanafikiria media is for free!
Medi ni kama bata liye ktika ziwa la maji yaiyotulia.
Ukimwona bata huyo na kwenda mbele , jue huko chini ya maji anapiga kasia kwa kasi.
Na media ndivyo zilivyo, viongozi wengi hawathamini zile background activities za media na kwamba zina gharama kubwa sana.
Kuna wafanyakazi, walinzi, madereva, repairmen, umeme, uendeshaji wa mitambo ili iwe active 24hrs!!!!!!
Wengi halioni hili!
 
Habari mkuu sana Paschal Mayala, binafsi nimesoma nikijitahidi kuelewa nakama ulivyotanabaisha hapo awali kwamba makala zako zina swali, maelezo na jibu tutatoa sisi ndugu wasomaji, pia nikishukuru kwa elimu ya awali kwamba kuna nchi za wenzetu wanahizo tozo za Redio.

Binafsi kwa hali iliyopo hivi sasa (ukisema ukweli wewe ni adui, mkubwa hakosei na kuendekeza sifa zaidi badala ya uhalisia) suamini kama ni wakati sahihi kuweka hizo tozo kusaidia media, angalia TBC pamoja na technolojia kubwa na studio&vyombo vya kisasa walivyopatiwa lakini wamekua viongozi wa sifa kwa chama tawala, waandishi hawaoneshi ubunifu kwa kiwango chake isitoshe Press clubs za Mikoa zimekua vibaraka kwa viongozi wa kisiasa na wenye malaka kutokana na mfumo mbovu wa uendeshaji uliowekwa (waandishi hususani wawakilishi wa mikoani nikama vifaranga wametupwa wajitafutie)

Binafsi nashauri kwanza itafutwe namna bora yakuwafanya waandishi waishi pasi na kutegemea bahasha na posho zamaelekezo ili waweze kuwa na uwezo wa kwenda kufuata taarifa kiuchunguzi na kuiripoti.

Pili vyombo vya habari viwekewe sheria ya kuvilinda dhidi ya makucha ya watawala ie Baridi Press na DC au uchaguzi wa 2020

Tatu Medai house kuzingatia usahihi wa watu kulingana na uzito wa vitengo ofcoz tunapenda masikhara lakini sio yakuendekeza ie Vipindi vyingi kwenye redio kubwa wakati wa muda wa wasikilizaji wengi hususani asubuhi vimekua na masikhara zaidi ie Wasafi

Nne kupatikana na chombo binfsi chenyenguvu katika kufuatilia kusimamia waandishi kulingana na uhalisia

NB: sio expert kwenye hii tasnia, nitashukuru kurekebishwa pale nilipoteleza.
 
Wanabodi

Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania, MCT, mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, na Ijumaa tukaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Hivyo mimi kama kawa na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, maelezo, kisha jibu, utatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la Hoja ya leo ni Media ni Mhimili Muhimu kama Ile Mihimili 3, Ila uko Dholfu Bin Taaban Kiuchumi. Jee Ufike Wakati Media Iwezeshwe au Tuendelee tuu Hivi Hivi Tulivyo?.

Jana ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Habari Tanzania, Je kuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.

Wakati nikiishi Uingereza, niliajiriwa na taasisi ya FCO ya Uingereza, kwenye salary slip yangu, nikajikutwa nakatwa fedha zinaitwa Radio Levy, kwa ajili ya kugharimia Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Pia kuna kodi ya TV set.

Nikamfuata mtu wa admini nikamwambia mimi kwangu sina redio, wala sisikilizi BBC, na hata kama ningekuwa nayo, ningesikiliza RTD na sio BBC, hivyo naomba kwenye slip yangu nisikatwe Radio Levy wala TV Set. Ndipo nikaelezwa malipo hayo ni statutory, lazima ulipie uwe unasikiliza BBC au hausikilizi, as long as uko UK, and you make money, una wajibu wa kugharimia media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu kati ya media na vyama vya siasa hadi kustahili ruzuku?.

Jee ufike wakati Tanzania tuintroduce media levy, huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, au media iendelee kuachiwa hivyo hivyo ipambane na hali yake?.

Paskali
Hapana kuweka mzigo wa kodi kwa watu wanaopata kipato ambacho hata chenyewe hakitoshi kabisa,na hapo unazungumzia vyombo vya umma mf.bbc

Kwa Tz hakuna haja ya kufanya hivyo sababu mathalani vyombo binafsi waajiri wengi si waumini wa kulipa na si kwamba hawapati pesa bali mifumo kuna sehemu ina udhaifu wa ufuatiliaji,ndio maana unakuta mtu ni mwajiriwa lkn mwisho wa siku rekodi za pesa kwenye hifadhi ya jamii hazijapelekwa na muajiri.

Media za watz zijifunze kulipa kulingana na mapato yao na kuwa na mikataba kwa wafanyakazi wake,lkn kuongeza mzigo wa kizembe namna hiyo kwa watu ni Big No.
 
Wanabodi

Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania, MCT, mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, na Ijumaa tukaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Hivyo mimi kama kawa na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, maelezo, kisha jibu, utatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la Hoja ya leo ni Media ni Mhimili Muhimu kama Ile Mihimili 3, Ila uko Dholfu Bin Taaban Kiuchumi. Jee Ufike Wakati Media Iwezeshwe au Tuendelee tuu Hivi Hivi Tulivyo?.

Jana ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Habari Tanzania, Je kuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.

Wakati nikiishi Uingereza, niliajiriwa na taasisi ya FCO ya Uingereza, kwenye salary slip yangu, nikajikutwa nakatwa fedha zinaitwa Radio Levy, kwa ajili ya kugharimia Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Pia kuna kodi ya TV set.

Nikamfuata mtu wa admini nikamwambia mimi kwangu sina redio, wala sisikilizi BBC, na hata kama ningekuwa nayo, ningesikiliza RTD na sio BBC, hivyo naomba kwenye slip yangu nisikatwe Radio Levy wala TV Set. Ndipo nikaelezwa malipo hayo ni statutory, lazima ulipie uwe unasikiliza BBC au hausikilizi, as long as uko UK, and you make money, una wajibu wa kugharimia media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu kati ya media na vyama vya siasa hadi kustahili ruzuku?.

Jee ufike wakati Tanzania tuintroduce media levy, huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, au media iendelee kuachiwa hivyo hivyo ipambane na hali yake?.

Paskali
Ili media ipewe ruzuku, lazima uwe na watu wenye kuongoza jahazinla media.
Watu credible, critical na wenye kujua nini cha kufanya.
Mathalani, watu kama Tido Mhando, Paskali Mayalla, Masoud Kipanya; ni wachache sana.

Kwa msingi huo, utaona waliobakia wengi ni ma-opportunists.
Wengi kwa msingi wa njaa, wakipewa dengu, wanauza uzaliwa wa kwanza.
 
Mazingira ya utendaji kazi wa vyombo vya habari vimebadilika,mnchotakiwa wanahabari ni kubadilika muendane na mahijaji ya nyakati.
Muwe kidigitali zaidi,vinginevyo mnapitwa
 
Wanabodi

Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania, MCT, mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, na Ijumaa tukaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Hivyo mimi kama kawa na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, maelezo, kisha jibu, utatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la Hoja ya leo ni Media ni Mhimili Muhimu kama Ile Mihimili 3, Ila uko Dholfu Bin Taaban Kiuchumi. Jee Ufike Wakati Media Iwezeshwe au Tuendelee tuu Hivi Hivi Tulivyo?.

Jana ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Habari Tanzania, Je kuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.

Wakati nikiishi Uingereza, niliajiriwa na taasisi ya FCO ya Uingereza, kwenye salary slip yangu, nikajikutwa nakatwa fedha zinaitwa Radio Levy, kwa ajili ya kugharimia Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Pia kuna kodi ya TV set.

Nikamfuata mtu wa admini nikamwambia mimi kwangu sina redio, wala sisikilizi BBC, na hata kama ningekuwa nayo, ningesikiliza RTD na sio BBC, hivyo naomba kwenye slip yangu nisikatwe Radio Levy wala TV Set. Ndipo nikaelezwa malipo hayo ni statutory, lazima ulipie uwe unasikiliza BBC au hausikilizi, as long as uko UK, and you make money, una wajibu wa kugharimia media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu kati ya media na vyama vya siasa hadi kustahili ruzuku?.

Jee ufike wakati Tanzania tuintroduce media levy, huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, au media iendelee kuachiwa hivyo hivyo ipambane na hali yake?.

Paskali
Kupewa ruzuku ndio mwanzo wa ku give up total control kwa watawala. Now they wont hide, tangaza habari wasizopenda no ruzuku
 
Kwa udhaifu mkubwa uliopo nchini katika kila sekta, HAPANAAAA.
Sasa hivi tu hawafadhiliwi na serikali ila wamekuwa machawa pro, wakifadhiliwa je!!!
 
Back
Top Bottom