NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA
Nimejifunza mambo haya kwenye hili
1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi yakifanyika wakati usio sahihi huwa yanaonekana si sahihi kwasababu yako nje ya wakati uliopaswa kuamua.
Yawezekana Christina alibaini kuwa ameozeshwa kwa mtu asiye sahihi lakini hakutaka kuipinga hiyo ndoa kwasababu kwa umri wa miaka 19 unao uwezo hata wa kukimbia au kutoroka au ukaenda kishingo upande ukaona hauna amani ukaachana nayo mapema kabla husogea sana hapo angeeleweka lakini maamuzi aliyoyafanya yanaweza kuwa sahihi lakini kwa wakati usio sahihi.
Kwa nini yeye ndiye anaongea sana kuliko mwanaume, kuna changamoto yawezekana yeye ndiye mwenye changamoto ila anatafuta huruma ya kuhalalisha alichokifanya awe sahihi.
2. YAWEZEKANA anafanya hivyo ili mzee Shushu amjipu ili apumue maana ana jaka la moyo anataka ajibiwe ili aone je anamlalamikia ana cha kujibu.
3. YAWEZEKANA kiburi cha mafanikio kumpeleka huko na muonekano wake umpeleke kwenye maisha anayoyaishi
4. YAWEZEKANA kuna changamoto za kifamilia zilishindwa kutatulika zikahatarisha usalama na hatma yake
Nimeshindwa kuwa upande wowote kwasababu sijui kwa kina kiini cha hiki siwezi kuhukumu nani mkosaji na nani
MAONI YANGU: CHRITINA achague kunyamaza maana kunyamaza kunailinda thamani yake na kuepusha mengi. Kuongea sana hakusaidia kwasababu kashaamua kuishi maisha mapya. Ayatazame maisha mapya yaliyoko aliyoyaamua aache kuongea
Kulalamika, kujilaumu au kuongea sana kwenye lile lilikuumiza haibadilishi matokeo. Yale tusiyoweza kutabadilisha tuyaache yawe sehemu ya simulizi za maisha yetu.
WAKATI MWINGINE MUOGOPE SANA MTU MKIYA yawezekana tunamuona mzee hana shida kwasababu ya ukimya wake ila yawezekana alikuwa mbaya kwa dada kuliko tumuonavyo
Wakati mwingine mtu anaonekanaye mkimya na mtaratibu huku nje huko ndani hafai. TUSIWAAMINI KWASABABU HAOWANGEI AU KWASABABU YA UKIMYA WALIONAO
UPO UKIMYA UUMIZAO NA ULIOFICHA MENGI MABAYA YASIONEKANA NJE
Ma Gwamaka