bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 24
- 40
Nakumbuka mliongea kwenye vyombo vya habari kwamba WATUMISHI walokuwa na CHANGAMOTO za upandaji vyeo watapandishwa kwa mserereko ifakapo mwezi may 2024, kwakweli nimeongea na WATUMISHI wengi sana Wana MATARAMIO hayo.
Nawakumbusha MADARAJA ni haki MTUMISHI. Mliwaweka maafisa utumishi DODOMA kushughulikia suala Hilo, tafadhali toeni tamko.
Nawakumbusha MADARAJA ni haki MTUMISHI. Mliwaweka maafisa utumishi DODOMA kushughulikia suala Hilo, tafadhali toeni tamko.