MCC Yaufyata kwa Tanzania na Kurejesha Misaada Yote

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,153
13,223
Baada ya kuona hatua yake haijaungwa mkono wala kushobkewa hatimaye wafadhili kupitia MCC wameamua kuahirisha mpango wa kuifutia misaada Tanzania na kurejesha kasma stahili huku wakijutia uamuzi wao wa awali

Hata hivyo wameitaka Tanzania kuendelea kutafakari mapingamizi yao juu ya mustakabli wa siasa Tanzania ili waongezewe misaada zaidi
 
Wewe unadhani MCC ni kusanyiko la washirikina kama NEC ya ccm? They have done once and for good.
 
Kwani lazima wasaidie Tanzania! kuna nchi ngapi ulimwegu huu zinahitaji misaada, si wakawasaidie waliyohitimu hayo masharti yao.
 
Wewe unadhani MCC ni kusanyiko la washirikina kama NEC ya ccm? They have done once and for good.
UNAFIKIRI KILA MTU NI NYANGAU KAMA NYUMBU,WAZUNGUSHA MIKONO NA WALA BANGE WA UKAWA?????????????????
 
Back
Top Bottom