Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Ndugu wana bodi.

Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais.

Ukweli ni kwamba kati ya watu 8 waliorudisha fomu ni watu wawili tu wenye ushindani.
1. Mh Tundu Lissu
2. Mh Lazaro Nyalandu.

Hawa wote ni wenyeji wa mkoa wa Singida na wote ni wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa.

Binafsi nilishitushwa sana kiasi cha kubadilisha mapigo ya moyo wangu baada ya kuona matokeo ya kura za maoni za kamati kuu ya CHADEMA.

Kilichonishitua ni kuona ``think tank`` ya CHADEMA inaamini Mhe Lazaro Nyalandu ni bora kuliko Mhe Tundu Lissu aliyekinga chama kwa damu yake na risasi 16 ambazo mpaka sasa hatujajua Kama kweli zilikuwa zinampiga au malaika walitega migongo yao ndio ikapigwa lisasi kwa niaba yake? Kwasababu mpaka sasa watanzania na wanachadema bado wanajiuliza huyu jamaa aliponaje!!

Bila kutia chumvi yafuatayo ni matokeo ya tatu bora za maoni ya kamati kuu ya CHADEMA

KURA ZA WAGOMBEA URAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KAMA ZILIVYOPIGWA NA KAMATI KUU YA CHADEMA, DAR ES SALAAM, JULY 22, 2020

*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*

*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)

Haya ndiyo majina yatakayo kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.

Baada ya matokeo haya nikaanza upelelezi kujua nini kimejiri Kaka Tundu Lissu azidiwe kura na mh Lazaro Nyalandu.

Uchunguzi wangu umebaini kuwa Mhe Aikael Mbowe na Nduguye Mhe Godbless Lema ndiyo walikua nyuma kuhakikisha kuwa Lazaro Nyalandu anamzidi kura za maoni Mhe Tundu Lissu katika maoni ya Kamati kuu.

Kwa ufupi naambatanisha chat za Whatsapp kati ya Mhe Lema na Mhe Mbowe baada ya matokeo ya kura hizo.

Na nina ushahidi thabiti watu wanne waliomnyima kura Lissu ni wafuatao.

1. Freeman Mbowe.
2. Godbless Lema.
3. Halima Mdee.
4. Esther Bulaya.

Pia nichukue wasaa huu kuwajulisha Mhe Esther Matiko na kaka Patrick Ole Sosopi kuwa makini katika siasa zao ndani ya chadema Mwamba hawatazami kwa jicho rafiki.

Wajumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu wa chadema taifa wanaopinga mpango wa Mwamba kumuunga mkono Lazaro Nyarandu na ambao wanamuunga mkono mh Tundu lissu,mjiandae pia kisaikolojia yajayo yanafurahisha.

Sasa nimeanza kuamini kwanini wanachama wa chadema na viongozi wengi walikuwa wanatimkia vyama vya Nccr mageuzi na ccm wakisema Kuna tatizo naona sasa linaanza kuwa dhahiri machoni kwa watanzania na wanachama wa chadema.

Ni wenu.
Kama kuna upigaji wa kura ulifanyika kihalalai unalalamika nini.
 
nzi wa kijani wewee yaani hapa ndio umeonyesha uzwazwa wako wa lumumba insi mnavohangaisha makalio yenyu yaani hata pa kuyaweka mmepapotea.. shwaini nyie..
haya hebu kwanza jumlisha hizo kura zote zilizopigwa jumla zilikuwa ngapi.. shwain ww
*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*
๐Ÿ‘Ž

*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)
jumla ya kura zote 75
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*
๐Ÿ‘Ž

*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)

idadi ya kura 29.. nyalandu kapata 28... inabaki moja iliyoharibika. sasa LISU kazipata wapi kura 24? na MAJINGE kazipata wapi kura 23?
 
Ndugu wana bodi.

Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais.

Ukweli ni kwamba kati ya watu 8 waliorudisha fomu ni watu wawili tu wenye ushindani.
1. Mh Tundu Lissu
2. Mh Lazaro Nyalandu.

Hawa wote ni wenyeji wa mkoa wa Singida na wote ni wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa.

Binafsi nilishitushwa sana kiasi cha kubadilisha mapigo ya moyo wangu baada ya kuona matokeo ya kura za maoni za kamati kuu ya CHADEMA.

Kilichonishitua ni kuona ``think tank`` ya CHADEMA inaamini Mhe Lazaro Nyalandu ni bora kuliko Mhe Tundu Lissu aliyekinga chama kwa damu yake na risasi 16 ambazo mpaka sasa hatujajua Kama kweli zilikuwa zinampiga au malaika walitega migongo yao ndio ikapigwa lisasi kwa niaba yake? Kwasababu mpaka sasa watanzania na wanachadema bado wanajiuliza huyu jamaa aliponaje!!

Bila kutia chumvi yafuatayo ni matokeo ya tatu bora za maoni ya kamati kuu ya CHADEMA

KURA ZA WAGOMBEA URAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KAMA ZILIVYOPIGWA NA KAMATI KUU YA CHADEMA, DAR ES SALAAM, JULY 22, 2020

*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*

*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)

Haya ndiyo majina yatakayo kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.

Baada ya matokeo haya nikaanza upelelezi kujua nini kimejiri Kaka Tundu Lissu azidiwe kura na mh Lazaro Nyalandu.

Uchunguzi wangu umebaini kuwa Mhe Aikael Mbowe na Nduguye Mhe Godbless Lema ndiyo walikua nyuma kuhakikisha kuwa Lazaro Nyalandu anamzidi kura za maoni Mhe Tundu Lissu katika maoni ya Kamati kuu.

Kwa ufupi naambatanisha chat za Whatsapp kati ya Mhe Lema na Mhe Mbowe baada ya matokeo ya kura hizo.

Na nina ushahidi thabiti watu wanne waliomnyima kura Lissu ni wafuatao.

1. Freeman Mbowe.
2. Godbless Lema.
3. Halima Mdee.
4. Esther Bulaya.

Pia nichukue wasaa huu kuwajulisha Mhe Esther Matiko na kaka Patrick Ole Sosopi kuwa makini katika siasa zao ndani ya chadema Mwamba hawatazami kwa jicho rafiki.

Wajumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu wa chadema taifa wanaopinga mpango wa Mwamba kumuunga mkono Lazaro Nyarandu na ambao wanamuunga mkono mh Tundu lissu,mjiandae pia kisaikolojia yajayo yanafurahisha.

Sasa nimeanza kuamini kwanini wanachama wa chadema na viongozi wengi walikuwa wanatimkia vyama vya Nccr mageuzi na ccm wakisema Kuna tatizo naona sasa linaanza kuwa dhahiri machoni kwa watanzania na wanachama wa chadema.

Ni wenu.

Kwa hizo kura na mgawanyo wake inabidi wakuwaishe Hospitali ya Mirembe
 
Jumamosi iliyopita njiani tokea Moshi nilikutana na bus limepimpiwa kama mgombea waurais CHADEMA NYALANDU 2020.
IMG_20200718_173706.jpg
 
Hela za ccm zinaliwa kijinga sana ! nadhani ndio hizi zilizovunwa kutoka kwa watia nia wachovu waliobwagwa
Tusimbeze huku Moshi tayari zimevuja kama alivyo andika kuwa Nyalandu anaongoza, hasa kuhusu nani kashinda kura ya maoni. Hayo mengine ya namba au asili mia huku hatuyajui.
 
Usichojua ni hiki: NYALANDU NDIYE MBUNGE PEKEE WA CCM ALIYEACHA UBUNGE BAADA YA TUNDU LISU KUPIGWA RISASI.

NYALANDU NDIYE MBUNGE PEKEE WA CCM ALIYEENDA NAIROBI KUMUONA LISU.

NYALANDU NI MNYATURU NA TUNDU LISU NI MNYATURU...HUWEZI KUWACHONGANISHA.

NYALANDU=TUNDU LISU.
 
Nakuuliza mleta hoja, Mbowe, Lema na Bulaya waliahidi kumpigia kura Lissu? Halafu ulijuaje kuwa hawakumpigia kura? Kwani balot paper zilikuwa na majina ya wapiga kura?

Vv
 
Mbowe ni mfanyabiashara tena wa kichaga halafu mtoto wa mjini.

Kama ni kweli then,TL anaponzwa na ukapuku tu.

1.Anajua fika hata watambike Ila kushindwa kuko palepale.(awe Lisu au Nyalandu)

2.Nyalandu anajiweza kifedha,anaweza kugharamia kampeni zake hata kwa Choppa bila kukitegemea chama wala kutembeza bakuli.

Kwa muktadha huo, Mbowe hawezi kufanya hiyo biashara kichaa kisa mihemko ya "ghost supporters" wa mitandaoni.
 
Huyu taira kaandika utopolp gani humu iv watu kama hawa wanaruhuxiwa vip kuleta uzi wa uzuxhi kam huu et idaiya kura 29 ilio haribika ni moja nyalandu 28.Lisu 24 mwingine23 kalculeti hizo namba uone uzuxhi wako ulovyo.
 
Duuu....yajayo yanafurahisha....

huu unaweza kuwa uchangonishi.....umetaja majina ya wachaga tu, Bulaya umemweka ili kufukia dhamira yako ovu ya ukabila.

hizo kura zilipigwajepigwaje, maana wajumbe 29, mara mwingine 28, mwingine 24, sijaelewa kabisaaa...

Huyu ni mpumbavu sana!eti kura 28(100%)
 
Back
Top Bottom