MBOWE AMEONGOZA CHADEMA MIAKA 20, ARUHUSU MAWAZO MAPYA

MTANZANIA620

Member
Jun 20, 2023
37
38
Wanajukwaa,
Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Chama hiki kimeongozwa na wenyeviti takribani watatu mpaka sasa kwa maana ya Mzee Edwin Mtei, Bob Makani na baadae Ndg Freeman Aikaeli Mbowe ambaye anatajwa kuwa kati ya wenyeviti wa vyama vya upinzani walioongoza kwa muda mrefu wa miaka 20 mpaka sasa ukiwaacha kina Prof Lipumba, John Cheyo, Francis Mbatia, Hayati Lyatonga Mrema, Hayati Mch Mtikila, Hayati Makaidi wa NLD nk

Kuelekea uchaguzi wa ndani wa CHADEMA mwaka huu minong'ono imekuwa mingi kwamba pamoja na kazi nzuri aliyoifanya Mbowe katika kuiongoza chama hicho kufika kilipo ikiwemo hata kwa kutumia rasilimali zake binafsi baadhi ya wanachama wa chama hicho na hata wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanadhani ni muda na wakati muafaka Mbowe akapisha wanachama wengine kukiongoza chama hicho katika nafasi ya Uenyekiti.

Wanaodai mabadiliko wanasema kitendo cha kushindwa kukijenga chama hicho kuwa taasisi imara wakati wanapata ruzuku na fedha nyingi toka nje pamoja na wanachama kwa kutekeleza baadhi ya mambo kama vile:-
1. Ujenzi wa ofisi za makao makuu ya chama hicho badala ya kuendelea kukopa au kufanya janja kama sasa nyumba ya Mbowe kugeuzwa ofisi za chama pale Mikocheni ikiwa inaonekana kama ni mpango wa kumpigia debe Mbowe kuelekea uchaguzi wa ndani
2. Kuanzisha mfumo wa ajira kwa watendaji wa chama hicho kuanzia Makao Makuu hadi ngazi ya wilaya au majimbo
3. Kujenga ofisi za kanda, mikoa na wilaya
4.Kununua vitendea kazi kwa maana ya magari na pikipiki kwa ofisi za kanda, mikoa, wilaya na majimbo
5. Ununuzi wa PA system/vyombo vya Muziki na majukwaa kwa ajili ya matumizi ya operesheni za chama badala ya kuendelea kukodi
6. Kuimarisha programu za scouting kwa vijana wenye vipaji na vipawa vya uongozi ili kuendelea kuwajengea uwezo kiuongozi kama ilivyofanyika huko nyuma kuwabaini kina Mdee, Zitto, Mnyika, Heche nk
7. Kuimarisha upatikanaji wa vipeperushi vya chama kama vile bendera na sare
8. Kuweka utaratibu mzuri wa kuanzisha na kuimarisha misingi. Siasa za kujitolea hazina matokeo chanya hivyo.
9. Kuwa na mijadala na vuguvugu yenye kubeba matarajio na mahitaji ya wananchi moja kwa moja kwa kuainisha mawazo mbadala (sera, sheria na mipango)

Kwa haya machache inaonekana Mwenyekiti Mbowe apishe damu mpya itakayokuja na mawazo mapya kwani kwa sasa chama hicho kimepoteza hamasa na mvuto kwa umma.
 
CCM IMEONGOZA TANZANIA TOKA UHURU.... iruhusu Mawazo Mapya. Itoke waingie wengine.
ASANTE
 
Na Nyerere aliongoza chama kwa zaidi ya miaka aliyoongoza Mbowe.
 
KWANINI USIIAMBIE CCM IMEONGOZA MIAKA 62 KWANINI ISIRUHUSU NA VYAMA VINGINE?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom