Mbowe akatae yeye kwanza kusifiwa ni Mwamba ndio atoe Ushauri kwa Rais Samia Kuwa akatae Sifa za Uwongo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,110
142,213
Ni Ushauri tu

Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako

Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza

Ni hilo tu
kwani tanzania kuna mwamba wa siasa za upinzani zaidi ya Mbowe. It is hard fact kuwa fedha za nchi si za samia. wewe vipi
 
Ni Ushauri tu

Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako

Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza

Ni hilo tu
Mtu akiitwa mwamba inakupunguziaje afya na shibe?
Mwalimu aliwahi sema huyo Mrema(alipokuwa maarufu), mbebeni tu mbona jeneza linabebwa!
Mrema alikoma kubebwa!
 
Kwani sio mwamba kweli? Muulize mama Kizimkazi kwa nini alipomwonea na kumbambika zile tuhuma nzito na baadae kuaibika na kuondoa tuhuma alichofanya cha kwanza ni kumuita nyumba #1 haraka sana kabla ya kuongea na yeyote ili amuangukie na kusema yaishe?
Mwamba huwa akikosewa anaangukiwa na kuombwa msamaha! Huo ndio mwamba bwana!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwa
Ni Ushauri tu

Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu.

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza.

Ni hilo tu.

Pia soma:

Mbowe, wenye akili wamekuelewa. Hawa wasiokuelewa tuwaite nani?

Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?
hili nakubaliana nawe kabisa.Kuna kale kawimbo cha kichawa., Mwamba tuvushe.
 
L
Ni Ushauri tu

Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu.

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza.

Ni hilo tu.

Pia soma:

Mbowe, wenye akili wamekuelewa. Hawa wasiokuelewa tuwaite nani?

Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?
Mbowe kasifiwa lini kwa kutoa pesa za mradi akiwa kama kiongozi wa siasa? Mwamba ni jina la heshima kama ilivyo Mama. Wanachama wenzake wanamuona Mwamba kama ambavyo nyinyi mnamuona Rais kama mama yenu. Halina madhara yeyote. Haulazimiki kutumia majina yote mawili.

Amandla...
 
Ni Ushauri tu

Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu.

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza.

Ni hilo tu.

Pia soma:

Mbowe, wenye akili wamekuelewa. Hawa wasiokuelewa tuwaite nani?

Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?
Freeman Mbowe ni mwamba kwelibwa siasa za upinzani Tanzania...."Mwamba tuvushe "
 
Ni Ushauri tu

Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu.

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza.

Ni hilo tu.

Pia soma:

Mbowe, wenye akili wamekuelewa. Hawa wasiokuelewa tuwaite nani?

Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?
Uko darasa la ngapi? Mwamba inahusiana nini na wananchi, mkinywa visungura msiandike kitu.
 
Ni Ushauri tu

Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu.

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza.

Ni hilo tu.

Pia soma:

Mbowe, wenye akili wamekuelewa. Hawa wasiokuelewa tuwaite nani?

Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?
Tena akiona sifa zinaenda kwa Tundu lissu ananuna!
 
Back
Top Bottom