Mbeya: Basi la New force la kutoka Tunduma-Dar limegongana na lori maeneo ya Igulusi

Ila hawa new force wamezidi kupata ajali. Watu wataanza kuogopa kupanda gari zao.
 
New force huwa wanakimbia sana na huwa hawatuheshimu tunaoendesha gari ndogo, wanapiga overtake hatarishi inabidi uwakwepe. Tusisingizie mwisho wa mwaka, ajali nyingi ni uzembe wa madereva.
 
Back
Top Bottom