Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,983
- 221,531
Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe.
Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi ya Kinana na Chongolo , huko Mbarali mambo ni hivi.
Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi ya Kinana na Chongolo , huko Mbarali mambo ni hivi.