GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu.
Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa Wewe ni Mtoto wa Mjini tena Kariakoo ambako ili Kuwafunga kabisa Mdomo na wasihoji Mambo mengi ya Kimsingi ukaamua Kukonga Nyoyo zao na Kuwatajia Kocha Mbovu kuliko Wote kuwqhi kutokea Mafurikoni Vyura SC.