mzee wa animal
Member
- Aug 12, 2023
- 10
- 2
Natafuta mlima Wenye hii miamba yenye mawe meusi ya kung'aa.0785500609
Hii sio black tourmaline mkuu!?Natafuta mlima Wenye hii miamba yenye mawe meusi ya kung'aa.0785500609View attachment 2993782
0785500609 naomba tuwasilianeHii sio black tourmaline mkuu!?
Kisaki nimeyaona sana.
Sawa nikihakikisha kama bado yapo nakupigia mkuu.0785500609 naomba tuwasiliane
Sawa mkuu namba yangu inapatkana mda woteSawa nikihakikisha kama bado yapo nakupigia mkuu.
Exactly ulangaNaona kama Ulanga huu. Natumaini unajua haya ni madini gani, kuwa muwazi na jina la hayo madini upewe taarifa zilizonyooka kama ni ubia ama kuuziwa
Hii ni mica (biotite) jina maarufu ulangaKuna huyo jamaa yangu mrusi alikuwa anayatafuta balaaa.
Yapo maeneo mengi hasa Morogoro na manyara!
Bila shaka ni black tourmaline!
Asante! Napokea marekebisho mkuuHii ni mica (biotite) jina maarufu ulanga
Weka bei yako ya kununulia. Kama vipi nitumie hiyo offer yako PMHii ni mica (biotite) jina maarufu ulanga