Kinyau
JF-Expert Member
- Nov 24, 2006
- 917
- 715
Kuna article imepostiwa leo inasema "Maskini wanaongoza kwa roho mbaya" nadhani ina ukweli - kwa mawazo fikra na mitazamo mgando. watu wanateseka kucontrol hadi oxygen anayovuta mtu mwingine - yani u control lifestyle ya wengine kabisa -what a boring world it will be . Sheria za nchi zimevunjwa NO, hatukana NO, kakuibia NO ila bado kuna wataoteseka na growth za wengine.Nikajua anavaa kiajaaabu sasa kijana kajipigilia pamba za vunja bei mnaanza dis!
Ila Wabongo ni watu wanaopenda kupangia watu namna ya kuishi na lifestyle kiujumla,
Kiufupi sijaona mavazi ya Pastor yaliyopasa kufunguliwa uzi yaani mtu amepoaaaaa kijana ana inspire vijana waende kwa sir God wakiwa hawana lawama wala mawaa ila still kuna wazee wanakuja na mitazamo ya kila pastor avae kama Ngumbaru old stylez
Anyway ukiona huelewi mambo ya Pastor Tony nakushauri uende kwa Pastor Maghembe!
😁😁