Matumizi ya madawa ya kulevya Marekani yameongezeka maradufu kwa watu weupe!!

Jambo jema sana hili... Walitengeneza kirusi cha ukimwi kummaliza mweusi lakini Mungu katunusuru
Warusi wamesha sema kuwa wanahabari kwamba Marekani walitengeneza virusi vya Ebola na Zika, na kuvirelease kwa nchi za 3rd World.

The analysis also tracks a simultaneous rise in sensationalist Russian claims that the United States is itself pursuing offensive biological weapons. Reports posted on state-sponsored news sites and amplified over social media have accused U.S. scientists of being behind recent outbreaks of the Zika virus as well as the Ebola epidemic in West Africa that began in 2014. In each instance, U.S. federal agencies marshaled a sizable response to counter or contain the outbreaks.
Surce:Poisoning of Russian ex-spy puts spotlight on Moscow’s secret military labs
 
Hajatunusuru mkuu, with time, tutakwisha woooote, coz haya madawa ya kufubaza wadudu ndio mtego wenyewe.

Yameficha zile deaths za haraka haraka, yanapumbaza huku tunazidi kuambukizana.

Otherwise ipatikane dawa ya kutibu, of which tunamtegemea Huyo Huyo adui atuletee.

God have mercy on africa.
 
Ndio maana hawana haraka ya kutafuta dawa ya kutibu, maana wanaona ulaji wa kuuza ARV upo.
 
Na zikipatikana au kukiwa na tetesi za dawa Fulani kutibu, wanachukua na wanakwenda kufanyia utafiti. Hairudi tena
 
Warusi wamesha sema kuwa wanahabari kwamba Marekani walitengeneza virusi vya Ebola na Zika, na kuvirelease kwa nchi za 3rd World.

The analysis also tracks a simultaneous rise in sensationalist Russian claims that the United States is itself pursuing offensive biological weapons. Reports posted on state-sponsored news sites and amplified over social media have accused U.S. scientists of being behind recent outbreaks of the Zika virus as well as the Ebola epidemic in West Africa that began in 2014. In each instance, U.S. federal agencies marshaled a sizable response to counter or contain the outbreaks.
Surce:Poisoning of Russian ex-spy puts spotlight on Moscow’s secret military labs
Sasa Urusi unategemea aandika mema kuhusu marekani au marekani aandika mazuri kuhusu Urusi?Hafahamu kwamba hao ni mahasimu?
 
Vyombo vya magharibi haviminyi habari km vya huku kwenu pamoja na vya huko Russia unapokusifia!
 
Warusi wamesha sema kuwa wanahabari kwamba Marekani walitengeneza virusi vya Ebola na Zika, na kuvirelease kwa nchi za 3rd World.

The analysis also tracks a simultaneous rise in sensationalist Russian claims that the United States is itself pursuing offensive biological weapons. Reports posted on state-sponsored news sites and amplified over social media have accused U.S. scientists of being behind recent outbreaks of the Zika virus as well as the Ebola epidemic in West Africa that began in 2014. In each instance, U.S. federal agencies marshaled a sizable response to counter or contain the outbreaks.
Surce:Poisoning of Russian ex-spy puts spotlight on Moscow’s secret military labs
Wanafiki tu,sasa ni kwa nini wasitengeneze dawa ya hiyo Ebola na Ukimwi wanaosema umetengenezwa na west?.Vitu vingine Warusi wamasemaga kutafuta sympathy kwa mataifa ili waonekane wao ndo wema sana,Kumbe Wazungu wote lao moja tu,hakuna cha mrusi wala Mmarekani wote wanafiki tu.
 
Ndio maana hawana haraka ya kutafuta dawa ya kutibu, maana wanaona ulaji wa kuuza ARV upo.
Waambieni Warusi wawatafutie dawa,si ndo mnasema mnawaamini?.Tatizo hamjui watu weupe wote lao moja tu,hakuna mwenye upendo wa dhati na mtu mweusi,Siku mkija kugundua hiki kitu ndo mtaanza kujitegemea na kuacha kulaumu.
 
Warusi wamesha sema kuwa wanahabari kwamba Marekani walitengeneza virusi vya Ebola na Zika, na kuvirelease kwa nchi za 3rd World.

The analysis also tracks a simultaneous rise in sensationalist Russian claims that the United States is itself pursuing offensive biological weapons. Reports posted on state-sponsored news sites and amplified over social media have accused U.S. scientists of being behind recent outbreaks of the Zika virus as well as the Ebola epidemic in West Africa that began in 2014. In each instance, U.S. federal agencies marshaled a sizable response to counter or contain the outbreaks.
Surce:Poisoning of Russian ex-spy puts spotlight on Moscow’s secret military labs
Halafu hii habari umeicopy huko huko Google ya hao wamarekani unaosema wameanzisha ebola.Halafu bado unaamini ni kweli,hahahaha.
 
Si ndo hapo sasa.... mrusi alete dawa Africa ya kutibu huo ukimwi, Ebola , zika, na homa ya ini!

Wazungu wote washenzi tuu
 
Halafu hii habari umeicopy huko huko Google ya hao wamarekani unaosema wameanzisha ebola.Halafu bado unaamini ni kweli,hahahaha.
Yes, nimecopy Google, na waafrika tunshauriwa to read between the lines.
Haya magonjwa ya kutengenezwa is for real.
Cocaine na drugs zilitengenezwa kuwaathiri Afro Americans.
Na kweli ilikuwa hivyo, sasa wote wanadhurika.
 
Hajatunusuru mkuu, with time, tutakwisha woooote, coz haya madawa ya kufubaza wadudu ndio mtego wenyewe.

Yameficha zile deaths za haraka haraka, yanapumbaza huku tunazidi kuambukizana.

Otherwise ipatikane dawa ya kutibu, of which tunamtegemea Huyo Huyo adui atuletee.

God have mercy on africa.
Epika zinaa utanusurika kwa uwezo wa Mungu
 
Jambo jema sana hili... Walitengeneza kirusi cha ukimwi kummaliza mweusi lakini Mungu katunusuru

katunusuru kiaje mkuu,ingali bado tunapukutika tuuu......
na wao wanaotutengenezea madawa ya kufubaza virus wanapaisha bei kila kukicha....??
 
Back
Top Bottom