Matrafiki wana roho mtakatifu wao

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
326
255
Kwanza hujazana kwa wingi Kituoni iwe Mwenge Tazara,Mwananchi Relini

Tabata Baracuda,Segerea,Temeke,Mtoni Madafu Chanika,Mbande na kwingineko ambako ni rahisi kusimamisha daladala

Na wanakuwa wengi kuliko daladala.

Roho mtakatifu wao kawapa ufunuo wa kujua jina la dereva na konda, kuliko namba za gari.

Daladala ikisimamishwa anashuka konda, gari inapaki mbali.,roho mtakatifu wao hataki kuonana na dereva hata kidogo labda washindwane na Kondakta

Baada ya dakika moja utaona konda anarudi na kuruhusu gari iendelee na safari.

Roho mtakatifu wa matrafiki kawapa uwezo wa kuona kosa la gari kupitia mwili, uso, sauti ya kondakta na kupeana mikono tu.

Wakiitazama sura ya konda na zile sare zao. Wanajua gari ina vibali, ina taa, breki, bima na shokapu imara.

Ndio maana hawana muda mchafu wa kukagua zaidi ya kuongea na konda.

Tena roho mtakatifu wao alielekeza wakamate daladala tu.

Roho mtakatifu wao kawapa muda maalum wa kuwepo eneo la kazi kuwa kuanzia alfajiri na kuondoka saa nne asubuhi, siyo zaidi ya hapo.

Bila shaka roho mtakatifu anakuwa kawaelekeza wakanywe supu haraka.

Bahati nzuri roho mtakatifu wao kawapa sharti rahisi sana juu ya kupokea karatasi zenye zisizozidi 2000,labda uwe na kesi maalum

Kwa hakika Jambo hili ni la kipekee sana nchini mwetu, inafaa wazungu waje kuiga kwetu
 
Acha hao watu wana watoto na wake wewe unadhani wataishi je bila kuongoza na roho mtakatifu
 
a.aleykum sheikh Abdull?
 
fanya mamb Yako acha tabia za kike kufatilia maisha ya watu wengine...

Unapanda daladala afu unapata mda wa kuchunguza mamb yasiyokuhusu... jitaid nunua hata hzo boda!!!

Ukiona maisha haya huna angalau gari lako binafsi na nyumba Yako sio za kupanga!!basi achana na mamb ya watu wengine..pambana kwanza uwe na hvyo viwili Kwa kuanzia
 
Mbona kaandika fresh Tu au unadhani neno roho mtakatifu ni hati mmiliki yako ewe mlokole uchwara
Imeandikwa, Usilitaje Bure Jina la BWANA Mungu wako,

Imeandikwa pia, Dhambi ya kumkufuru Roho mtakatifu, haisameheki,

Makinika.
 
Hapo katumia lugha ya Sanaa na picha kuleta ujumbe aliokusudia usidhani Huyo Mungu ni wako peke yako ututishie Uhuru WA kulitumia jina lake.
Pia usitubabaishe ndugu.
 
Hiyo lugha ya picha aliyotumia,

Wazo kapewa na majini kichwani mwake.
 
Majini Yako kichwani yamekutuma kumtaja Kwa dhihaka Roho wa Mungu?

Unachokitafuta utakipata.
Hata mi nimemshangaa. Kashindwa kusema wana majini ambao walisilimishwa na muddy (57) mme wa Bi. Aisha(9) anasema wana roho mtakatifu. Wakishashibaga futari huwa wanatafuta Maneno sana hawa maustadh.
 
Aisee, na Mimi nikitaka kusema hivyo...

Sijui anajua Bora ukufuru vyote ila sio Roho Mtakatifu...

Mungu amrehemu.
 
Hata mi nimemshangaa. Kashindwa kusema wana majini ambao walisilimishwa na muddy (57) mme wa Bi. Aisha(9) anasema wana roho mtakatifu. Wakishashibaga futari huwa wanatafuta Maneno sana hawa maustadh.
Anafanya kusudi, shetani Yuko kazini.
 
Back
Top Bottom