nyani mkindu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 537
- 975
Ngoja waje
chekii HAYO MASWALI MBONA YA WATOTO?
ILA YANADHALILISHA AHAHA
Database ni kanzidata na linazungumzwa sana kwa wale wa IT na HR
Alphonce simbu hakushnda gold medal ila ni mashndano London olympic
UNFPA ni shrika la umoja wa mataifa linadeal na population yani UN popn fund
Aliyedesign coat of arm ni jamaa wa znz huko nadhan mada ilikuwepo hapa baada ya yule mchoraj feki kuibuka. Anaitwa abdalah farhan kama sjasahau.
Mkuu hii ni baada ya kugoogle, ila ukiwa mle ndani unaona nyota.......huyo Mkurugenzi wa SSRA nilikuwa nakumbuka ni mwanamke ila jina lake sasa kulikumbuka ndio utata.Ilembula.
Makinikia kwa kiingereza ni concentrates
UNFPA ni United nations popn fund
JUICE kwa Kiswahili ni Juisi au shurubati
DG wa SSRA nadhani hajatumbuliwa mrembo irene isaka
Hiyo reli mpya inaitwa Nairobi standard gauge railway imeanzia mombasa hadi nairobi na iliznduliwa na Kenyata kipind cha kampen kutafuta kick
Ilembula. SIJAGOOGLE MKUU, KABISA NAONGEA KUTOKA ROHONI MWANGU. HUYU MDADA JINA LAKE LIMENIKAA KWA 7BU NIMEWAH KUFANYA NAYE KAZI.
UNFPA NIMEISOMA SANA KWENYE DEVT STUDIES
HIYO RELI NI MAARUFU NA ILIKUWA NA HEADLINE WAKAT WA UCHAGUZ
JUISI UZI WAKE TULICHAMBUA HAPA
MAKINIKIA NILISOMA KWENYE RIPOTI YA MRUMA YA KIINGEREZA.
NB: JITAHD KUFATILIA MAMBO YANAYOENDELEA DUNIAN NA YAKAE KICHWAN. MANA SOKO LIKO TIGHT BONGO HVYO WANAOSAILI WANAJIKUTA WANATUNGA MASWALI YA KUKOMOANA.
Asante mkuu, ngoja niende huko.MKUU, SOMA MAGAZETI YA CITIZEN, THE GUARDIAN NA DAILY NEWS NDYO HUTOA HZO RIPOTI KWA KIINGLISH
AU MITANDAO YA HABARI YA ENGLISH
ILA POLE MKUU NAJUA UMEKULA ZA USO
Kwa hiyo ww ushaitwa kazin ? Au unajipamba kuwa umefaulu paper mkuu ?ILA POLE MKUU NAJUA UMEKULA ZA USO