Elections 2010 Maskini Mbatia, aunga mkono tafiti za REDET na SYNOVATE!

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Huyu jamaa kaishiwa namna hii? Nimeona kipindi TBC sikuwahi kukiona nikashangaa jamaa nanvyoongea upupu kama Mrema. Duh
 
Mwenzako niliamua kubadilisha station ili kujiepushilia mbali na upupu wake,
 
Any body around to see James Mbatia on TBC? Nimeamini kweli kuwa huyu jamaa ni Kibaraka wa RA na Sisiem yake. Zile taarifa kuwa anafadhiliwa na Rostam ni za kweli mpaka amediriki kusema kuwa si NCCR au chama kingine chochote kitakacho shinda CCM kwenye uchaguzi huu!

Kweli huyu jamaa hana akili tena maana anasema anacho ambiwa. mwangalie kwenyeTBC sasa
 
Tdo Mhando anamtega halafu anaingia kichwa kichwa! eti wapinzani wanatumia Ufisadi kama uwanja wa kupigia kelele. Huyu anamtetea bwana yake Rostam!!! Analipia gharama zile walizompeleka ulaya kusoma' Huyu bwana ni **** kweli kweli
 
Ngoja niangalie mpaka mwisho, ila mbatia niliyemheshimu sio huyu, he completely out of control. Hana kitu wanajaribu kumpandisha profile ashinde kawe, sijui kama watu wa kawe wanahitaji mtu kama huyu ambaye angefaa aende kanisani, hajui kama anategwa kabisa ni kilaza kabisa
 
Nadhani NCCR sio chama cha kisiasa bali ni NGO, jamaa kaishiwa sera na alisahau kusoma alama za nyakati kwamba MREMA,,

poor mbatia rudi kijijini kwenu au tafuta kazi nyingine ya kufanya
 
jana nilikua namsikiliza pale kwa nyerere, akaweka kanda ya nyerere for some time, sikumwelewa na bahati mbaya alikua na watu wachache sana, inawezekana uchache wa watu ulimchanganya
 
The guy is going down, let him be like Mrema and we will see where to rest him once gone.. even if he will go back to Vunjo no body even his own clan so the guy is deadly gone..

Those who pay him for this will pay their dues in due time...
 
Huwezi amini mtu huyu eti kiongozi wa opposition party hajui maana ya ufisadi tunaozungumzia kila siku. epa, richmund, deep green sijui what? Hata mama yake mzee anayajua haya. Shameful
 
dah... kuna jamaa wa pale tegeta walivyokua wanampigia debe, nadhani wataacha sasa
 
Mbatia njaa inamsumbua! Hakuna tofauti na Mrema. Wanadhani kuwa JK akishinda atawakumbuka. Tunamshauri asijiite opposition leader bali arudishe kadi arudi ccm kama wenzake waliowahi kufanya hivyo. Nahisi pia kwamba anawivu sana hapendi kuona vyama vingine vya upinzani vinafanya vizuri wakati cha kwake kinakata roho. His philosophy is: If you can't fight your enemy join him. RUDI CCM KAKA usione aibu.
 
Namshauri James Mbatia amfuate "mentor" wake ktk siasa za Mageuzi, yaani Mabere Nyaucho Marando: Ajiunge na Chadema.

Kama haiwezekani kabla ya tarehe 31 Oktoba 2010, basi afanye hivyo baada ya Uchaguzi Mkuu. NCCR-Mageuzi haina jipya: Kwa sera na misimamo, wao ni Chadema tu, ila labda wafuasi wa Chadema na viongozi wake hawatokei Usalama wa Taifa.
 
Back
Top Bottom