Natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo

meghan markle

JF-Expert Member
May 22, 2018
489
1,182
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu.

Any age, and gender karibuni. Sina udini wala siasa! I’m open minded
.
 
Vizuri sana kuona namna yakutengeneza ujamaa na Asili ya nchi yako tunashukuru sana kwakutukumbuka.
Mie napenda kujua ni nchi gani hiyo n'je ya tanzania??
 
Back
Top Bottom