Maprofesa kumi na wanne wa Israeli walitunukiwa tuzo za juu za utafiti wa EU

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
13,039
15,484
Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi.

Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina thamani ya takriban euro milioni 2.5 (dola milioni 2.68), iliyotolewa kwa miaka mitano, na euro milioni 1 za ziada ($ 1.07 milioni) zinapatikana katika hali fulani.
---
Fourteen researchers from Israeli universities have been awarded prestigious Advanced Grants by the European Research Council (ERC), it was announced Thursday.

The EU-funded research grants are each worth approximately 2.5 million euros ($2.68 million), disbursed over five years, with an additional 1 million euros ($1.07 million) available in certain cases.

The grants are “among the most prestigious and competitive research grants offered by the European Union. These grants provide seasoned researchers with the opportunity to pursue ambitious projects capable of catalyzing significant scientific breakthroughs,” the Hebrew University said in a statement announcing its three winners.

The Hebrew University recipients were Prof. David Kazhdan, from the Einstein Institute of Mathematics; Prof. Nathan (Nati) Linial, from the Benin School of Computer Science and Engineering, the Einstein Institute of Mathematics, and the Federman Center for the Study of Rationality; and Prof. Maren R. Niehoff, Max Cooper chair of Jewish Thought in the Faculty of Humanities.

At the Technion, Prof. Michael Glickman, dean of the Faculty of Biology, and Prof. Jackie Schiller from the Rappaport Faculty of Medicine received the grants.

Get The Times of Israel's Daily Editionby email and never miss our top stories
By signing up, you agree to the terms

The Weizmann Institute of Science had six winners: Prof. Irit Dinur of the Faculty of Computer Science, Prof. Mike Fainzilber of the Department of Biomolecular Sciences, Prof. Sarel Fleishman also of the Department of Biomolecular Sciences, Prof. Itay Halevy of the Department of Earth and Planetary Sciences, Prof. Michal Irani, dean of the Faculty of Mathematics and Computer Science, and Prof. Rony Paz of the Department of Brain Sciences.

There were three awardees from Tel Aviv University: Prof. Yair Bar-Haim of the Sagol School of Neuroscience, Prof. Amir Shpilka of the Department of Computer Science, and Prof. Rafael Pass, also from the Department of Computer Science.

In advance of the awards announcement, The Times of Israel was able to conduct short interviews with the three recipients from the Hebrew University.

Grandmaster of mathematics

In their announcement, the Hebrew University noted that Prof. David Kazhdan was honored for “his research on uncovering hidden symmetries across various mathematical fields and exploring their applications. His work aims to illuminate unexpected connections between disparate mathematical theories and leverage these symmetries to solve intricate problems.”

When asked on a Zoom call about his research, Kazhdan, 77, noted that “it’s completely impossible to present these ideas to the general public.” High-level mathematics, “in general, you can’t explain to a regular person — you use terms they won’t know,” he added.

 
  • Thanks
Reactions: Gut
Jamani wayahudi asilia wanafanana na
1. Waarabu?
2. Wazungu?
3. Wagiriki?
Ni jamii ya kiarabu au kizungu? Kuna wayahudi kama Ehud Barack , Ben Gvir, na wengine wanafanana na waarabu lakini naona akina Ben Gantz, Ariel Sharoon, Netanyahu wanafanana na wazungu wa Ulaya. Hapo inakuwaje?
 
Wayahudi
Jamani wayahudi asilia wanafanana na
1. Waarabu?
2. Wazungu?
3. Wagiriki?
Ni jamii ya kiarabu au kizungu? Kuna wayahudi kama Ehud Barack , Ben Gvir, na wengine wanafanana na waarabu lakini naona akina Ben Gantz, Ariel Sharoon, Netanyahu wanafanana na wazungu wa Ulaya. Hapo inakuwaje?
Wayahudi sio wazungu,,baba Yao Abraham asili yake ni Iraq.....
Hao uliowataja wanafanana na wazungu sababu ni muingiliano wa jamii...
Kwa mfano Mimi muonekano wangu ni mchina kabisa,lakini Mzee ni mndengeleko wa mbwela-rufiji!!!
 
Wayahudi

Wayahudi sio wazungu,,baba Yao Abraham asili yake ni Iraq.....
Hao uliowataja wanafanana na wazungu sababu ni muingiliano wa jamii...
Kwa mfano Mimi muonekano wangu ni mchina kabisa,lakini Mzee ni mndengeleko wa mbwela-rufij
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃, mwonekano mchina! Kumbe ni jamii ya kiarabu? Hata akina Netanyahu usoni ni mzungu ila nywere ni za kiarabu.
 
Wayahudi walipotawanyika duniani mwingiliano mkubwa ulitokea..


Pale iran kuna mayahudi kibao
Jamani wayahudi asilia wanafanana na
1. Waarabu?
2. Wazungu?
3. Wagiriki?
Ni jamii ya kiarabu au kizungu? Kuna wayahudi kama Ehud Barack , Ben Gvir, na wengine wanafanana na waarabu lakini naona akina Ben Gantz, Ariel Sharoon, Netanyahu wanafanana na wazungu wa Ulaya. Hapo inakuwaje?
 
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃, mwonekano mchina! Kumbe ni jamii ya kiarabu? Hata akina Netanyahu usoni ni mzungu ila nywere ni za kiarabu.
Mimi muonekano wangu ni mchina lakini asili yangu ni Africa.....
Netanyahu asili yake ni uarabuni(mesopotamia,Jiji la Uru kusini mashariki mwa Baghdad)...
Ndugu ulihitaji asili ya wayahudi ndio hiyo.
Kama unafahamu asili nyingine ya wayahudi tujuze!!
 
Kumbe vita vya gaza ni baina ya mwarabu na mwarabu si myahudi na mwarabu?kwa hiyo ismael na Isihaka wote ni waarabu?Vile vita ni vya kidini kati ya waarabu waislam na waarabu wasio waislamu?!
 
Back
Top Bottom