Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

View attachment 2791568
MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI.

Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam.

Viongozi, Wanachama wa CCM, Wakereketwa na Wapenzi wote wa CCM bila kuwasahau wale Msio na vyama ila mnajua na kuipenda Kazi ya Katibu Mwenezi Makonda.

Mnakaribishwa wote kuja kumpokea siku ya Alhamisi katika Jiji la Mzizima.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Na anayeondoka anasindikizwa lini na wapi
 
Hii sio afya kwa Taifa. Inafikiriwa Sana. CCM ni genge ,lina wenyewe na wanaamua lolote kwa kuwa wananchi hawana nguvu ya kukataa.
 
Back
Top Bottom