Maneno haya kutoka maandiko matakatifu yatufundisha nini juu ya tukio la tarehe 17/03/2021?

Yule kiumbe kifo alikitafuta mwenyewe. Alilitaja jina la Mungu kama fasheni tu huku akimkufuru pakubwa. ..aliua, aliteka, alijikweza, na akaendekeza ushirikina katikati ya janga la korona.

Mungu akampa korona ili ikate umeme wa pacemaker na jehanamu aende.

Ndiyo maana nchi nzima kwa mara ya kwanza rais anafariki na kuitwa mwendazake badala ya hayati.

Mwendazake= mtu dhalili aliyekufa kifo dhalili.
Oooh Kumbe ndiyo maana ya Mwendazake? Sisi tunamshukuru tu Mungu kwa matendo yake makuu.
 
Ukisoma katika biblia kitabu cha Matendo ya Mitume, sura ya 12 aya ya 21 hadi 23 (Mdo 12:21-23) imeandikwa: "21 Basi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hotuba mbele yao.

22 Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu.

23 Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na chango, akatokwa na roho."

Tukirejea hapo nyuma, kuna kauli zilitolewa na baadhi ya wateule zenye kukipa utukufu kiumbe na kumnyima utukufu muumbaji ( rejea kauli za Mh. Lugola na zile za Mzee wa Toronto - A. Mwanri), na wala kiumbe hakikukemea. Je, tukio hilo la tarehe 17 machi lililobadilisha taswira ya Taifa na ubao kusomeka tofauti ni majibu ya aya hizo nilizo zitaja za maandiko matakatifu?

Je, viongozi na wananchi kwa ujumla tunayo ya kujifunza kutoka aya hizi? Viongozi wa dini je, tunalo la kujifunza katika hili tusimamapo ili tuweze kutoa somo kwa waumini wetu wajue nani anapaswa kupewa utukufu?
Kwa wewe ulimuita mungu huyo kiumbe?
Ili tuanzie hapo au uliami ni mungu?
 
Walimtukuza Binadamu kuliko Mungu umamsahau Musiba Alisema Mambo aliyoyafanya Kiumbe yalikuwa Makubwa kuliko Aliyoyafanya YESU KRISTO na Kiumbe hakukemea ALIKAA KIMYA binadamu tukumbuke MUNGU HADHIHAKIWI UKIMDHIHAKI MUNGU LAZIMA UTAKUFA.
 
huu ni ukweli kabisa moja ya amri kuu za mungu usilitaje bure jina la bwana mungu wako magufuli ameuwawa na kufuru kwa jina la mungu
Mkuu unaandika kana kwamba mlikata kikao na Mungu kuamua kuhusu maisha ya Magufuli. Ukasahau kama na wewe unakufuru. Soma Isaya 55:8-9, nafikiri kama unamwamini Mungu, baada ya kusoma misitari hiyo kutafuta hii post.
 
Mods tafadhali rejesheni uzo huu jukwaa la siasa, as long as content yake inahusiana na Mambo ya siasa, uongozi na kujipendekeza.
Invisible
@invicible Moderator
 
Yule kiumbe kifo alikitafuta mwenyewe. Alilitaja jina la Mungu kama fasheni tu huku akimkufuru pakubwa. ..aliua, aliteka, alijikweza, na akaendekeza ushirikina katikati ya janga la korona.

Mungu akampa korona ili ikate umeme wa pacemaker na jehanamu aende.

Ndiyo maana nchi nzima kwa mara ya kwanza rais anafariki na kuitwa mwendazake badala ya hayati.

Mwendazake= mtu dhalili aliyekufa kifo dhalili.
Naamini magufuli yuko motoni sasahivi yani ni kati ya watu ambao wengi tunaamini hajaiona au hataiona pepo.
 
Back
Top Bottom