Man City Vs Sevilla | Uefa Super Cup | Karaiskakis Stadium | 16.08.2023

Majira ya Saa 4:00 Usiku utapigwa mcheza wa Uefa Super Cup kati ya Man City dhidi ya Sevilla.

Ni mchezo wa ufunguzi kwa msimu mpya wa mashindano kwa ngazi ya vilabu barani Ulaya. Mchezo unaowakutanisha mabingwa wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya mabingwa wa Europa league.

Man City itamkosa staa na nahodha wake Kelvin De Bruyne ambaye atakuwa nje kwa miezi minne.

Sevilla sio timu ya kubeza ni moja ya timu sumbufu sana hivyo Man City watalazimika kucheza kwa umakini.

Mechi itakuwa live DStv kupitia chaneli ya 223 na 225

Live updates zitakuwepo hapa…
Kwa hiyo ndo kusemaa!? Na wewe uko ugiriki!?. Eti eeh!?

..Enhee mkuu, naona upo hapo ugiriki!!!....

Hebu nipe hali ya hewa ya hapo estadio georgios karaiskakis...

Hivi lile geti la nyuma.... jekundu bado linatumika!? Maana nna muda sijakanyaga hapo!
 
Back
Top Bottom