Mambo yaliyoleta Vita KUU Ulaya, ni Dhuluma na unfairness!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,477
9,075
Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa deni atakayedaiwa ni Serikali kwa maan ndiye alidhamini na siyo mtu binafsi aliyekopa.

Hivyo Serikali ilikuwa inadhamini mikopo ya watu binafsi na wanaoishia kulipia hayo madeni ni nchi tena kwa riba kubwa, wananchi wakiangalia hakuna kilichofanyika lkn nchi inadaiwa na kwa riba kubwa, wakijiuliza mikopo imefanyia nini haijulikani, lkn deni wananchi wanalilipa, …
 
Back
Top Bottom