Malipo ya NSSF baada ya kumaliza miezi 18

mkaa mweusi

Member
Jan 14, 2011
69
26
Wakuu, Nilifanikiwa kulipwa Ile 33.3% ya NSSF, naomba kufahamu Kwa yoyote mwenye kujua, inachukua mda gani na hatua mpaka kupata malipo yaliyobaki baada ya kutimiza miezi 18. Natanguliza shukrani..
 
kumbe wanalipa pia mafungu mafungu?

Nenda ofisi zao zilizo jirani na ulipo.

Pole
 
Mkuu hio asilimia iliobaki wanakua wanakupa kwa mfumo wa pension ya kila mwezi...
 
Back
Top Bottom