Maligendi Kitambo, Clouds TV: Akiendeshe nani kati ya Babuu wa Kitaa na Gadner Habash?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
1,009
840
Katika mabadiliko ya vipindi jana Clouds TV walikuwa wanakitambulisha kipindi kipya cha Wakongwe wa fani, na jana ilikuwa zamu ya Inspector Haroon na Juma Nature.

Kwa waliotazama jana naomba watoe maoni kati ya Babuu wa Kitaa na Gadner Habash nani apewe hicho kipindi?
 
Inatakiwa mtu ambae anawajua wasaniii wa zamani vizuri huku akiwa na details zao mbalimbali zakufurahisha zaidi na ofcourse nilazima aujue mziki haswaa ikiwezekana aina nyingi za miziki mwenye uchangamfu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babuu anawajua wasanii ameshinda nao sana na bado iko ivyo kipindi kitamfaa sema jamaa si mtaalamu wa kuuliza maswali
 
Back
Top Bottom