Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,734
- 3,688
Wakileta chokochoko watapigikatu hamna namna.
Hawa Wamarawi wanarijaribu gesi retu ra porisi. Hv hawajaona jinsi ririvyokuwa likiranda randa mitaani in show of force. Wasijaribu amir gesi wetu mkuu na mwenyekiti wa richama retuHawajui ya kwamba sisi hatujaribiwi wewe acha walete fyokofyoko za kichochezi tutawashughulikia inavyotakiwa
Me nawaona ni sungusungu.Yani waache ujinga tutawafanyia kitu mbaya.Kijeshi hao kwetu nimgambo tu
Do you know how powerful their supporters are?Naamani kuna mtu au watu nyuma ya Malawi,kwa hiyo tuchunguze kwanza hilo kabla ya kurasmisha kwamba tutawapiga.Prof.Kabudi katika mdahalo wa katiba mpya alisema,Nyonga za Africa yaan hips ni Congo na Tanzania,Congo mabeberu wameisha ikamata tayari imebaki Tanzania kwa hiyo tutengeneze mazingira ya kuilinda .Je,hao sio wanaoweza kuwa nyuma ya Malawi? Kama ndo wao je,ni akina nani?Hivi vita na malawi nayo kweli itaitwa vita? Mbona kwa JWTZ hii ni kazi ya siku mbili tu. Hata hatuhitaji kupeleka vikosi vya ziada huko...walio huko wanatosha. Sema tu sisi ni taifa ambalo linapenda amani.
How far are you sure? Vita huwa zinakuwa na mambo mengi unajua ni nani yuko nyuma ya hao wamalawi. Tumuombe Mungu atuepushe na haya mabalaa ndugu yanguHivi vita na malawi nayo kweli itaitwa vita? Mbona kwa JWTZ hii ni kazi ya siku mbili tu. Hata hatuhitaji kupeleka vikosi vya ziada huko...walio huko wanatosha. Sema tu sisi ni taifa ambalo linapenda amani.
maamuzi magumu ni kama kujinyonga,...tufanye maamuzi makini...nguvu tunayo,sababu ya kuwapiga yunayo na nia ya kuwapiga tunayo...!Nimesoma koment zao wengi wanaona Malawi iko powerful sana kijeshi kwamba wataipiga tz kirahisi kama vita itatokea. Hawa jamaa wametusumbua sana toka enzi za kamuzu banda nadhani ifike wakati sasa tufanye maamuzi magumu