Makonda ni mwamba! Kila anakoenda anapanyoosha mpaka wanaomba pooo!

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,429
12,262
Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana!

Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama ...bless Lema), n.k. atawanyoosha!
 
Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana! Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama ...bless Lema), n.k. atawanyoosha!
Watu wa Arusha na Moshi ni tofauti na hao mbulumbu wa Dar. Wale jamaa wa huko hawajui unafiki nakwambia Makonda utaona ataishia kwa staili gani.
 
Kuna watu wanampotosha rais, na anawasikiliza. Makonda kapelekwa kudhibiti Chadema huko kaskazini. Lakini atashindwa na atafukuzwa u RC.
 
Simkubali ila ana nguvu kubwa ya ushawishi, kama ni mganga anaee
 
Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana!

Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama ...bless Lema), n.k. atawanyoosha!
Labda km amenyoosha hiyo akili yako iliyopinda. Kimsingi Makonda ana akili ndogo sana hakuna analoweza ku-accomplish hasa ktk hizi zama za kistaarabu
 
Pamoja na mambo yake ya ajabu....Makonda huwa anaamsha amsha flani hivi ya kuchangamsha siku, inatupunguziaga stress sisi walala hoi.
Ile clip anaendesha baiskeli huko kwa wasukuma wenzie nlikua nacheka sana.
anacheza na akili za wajinga kama wewe hapo moja wapo
 
Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana!

Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama ...bless Lema), n.k. atawanyoosha!
Mbona kama kanyooshwa yeye safari hii
 
Back
Top Bottom